WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WATOAFAUTIANA KUHUSU MAANDAMANO.

Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino),Said Ndonge akiwa na wajumbe wa kamati hiyo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maandamano wanayotarajia kuyafanya Machi 3 Mwaka huu jijini Dar es Salaam. (Picha Emmanuel Massaka).NA Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii.
Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)umepingana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Dec
Jeshi la Polisi laombwa kuweka ulinzi maalumu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino)
Chama watu wenye ulemavu wa ngozi Albino Mkoa wa Tanga kimeliomba jeshi la polisi kuweka ulinzi maalumu kwenye maeneo yenye walemavu hao kama sehemu ya kukabiliana na ukataji wa viungo na mauaji ya watu hao.
Kauli ya chama hicho imekuja baada ya mlemavu mwenzao wa ngozi Ester Maganga mkazi wa wilaya ya Lushoto kukatwa kidole chake cha mkono wa kusoto kwa imani za kishirikina.
Katibu wa chama cha Albino Mkoa wa Tanga, Mahmud Salekhe amesema kitendo cha Mwenzao Ester Maganga mkazi wa...
10 years ago
VijimamboTANZANIA YASISITIZA AZIMIO KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI LIWE NA TIJA
11 years ago
Michuzi03 Oct
PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda...
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Kituo cha watu wenye ulemavu wa ngozi kilichojaa changamoto!
NA AGATHA CHARLES, ALIYEKUWA SHINYANGA
WAKATI jamii ikipambana kuzuia mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), imebainika kuwa licha ya tishio hilo la kuawa lakini pia wamekuwa wakifanyiwa vitendo wa ukatili ikiwemo kubakwa.
Mwandishi wa gazeti hili, Machi 10, mwaka huu alitembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo Manispaa ya Shinyanga na kukutana na binti mwenye umri chini ya miaka 18 ambaye alifanyiwa ukatili...
5 years ago
Michuzi
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
10 years ago
Michuzi
KESI ZA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI ZITAPEWA KIPAUMBELE - JAJI MKUU

Jaji Mkuu Nchini Othman Chande amesema kesi za mauaji kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)zinatakiwa kufanywa kwa ushirikiano katika pande zote ikiwemo mashahidi kujitokeza kwa wakati kwa watuhumiwa wa mauji hayo.
Jaji Chande ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuapishwa Manaibu wa Usajili wa Mahakama Kuu leo jijini,Dar es Salaam,amesema watu wenye ulemavu wa ngozi ni watanzania wenzetu na hakuna anayependa wanavyofanyiwa ukatili huo.
Chande amesema...
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Jamii itoe ushirikiano kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini
Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMA
JAMII imetakiwa kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi nchini katika kutoa taarifa zitakazo fanikisha kukamatwa kwa wote walioshiriki mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi nchini.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Pereira Silima (pichani) bungeni mjini Dodoma alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mhe. Al -Shaimaa Kwegyir, Mbunge wa Viti Maalum aliyehoji kuchelewa kwa taarifa ya kupatikana kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,...
11 years ago
Dewji Blog03 Oct
Uzalendo kwanza: Piga kura uboreshe maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi
Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na...
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Watu wenye ulemavu wa ngozi Manyoni waomba kusogezewa karibu dawa zakujikinga
Jengo la ofisi ya Kijiji cha Kilimatinde,wilayani Manyoni mahali walipokuwa wakipokelea malipo ya fedha za mpango wa kunusuru kaya maskini katika Kijiji hicho.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kilimatinde, wilayani Manyoni wakisubiri kwa hamu kuba malipo ya TASAF awamu ya tatu yaliyokuwa yakifanyika katika ofisi za kijiji hicho.
baadhi ya waanchi wa Kijiji cha Sukamahela,tarafa ya Kilimatinde, wilayani Manyoni wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti wa kijiji hicho juu ya taratibu za...