Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACACIA yazawadia wafanyakazi wake 510 wa mgodi wa Bulyanhulu

Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, wakimshangilia Meneja Mkuu wa mgodi huo, Michell Ash, baada ya kumpatia zawadi ya Meneja bora wa mwaka ambaye wao wenyewe wafanyakazi walimteua. Katika hatua  nyinghine, kampuni ya ACACIA imewazawadia saruji na mabati wafanyakazi wake 510 wanaofanyakazi kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu 500 kwa kuhudumu kwa muda mrefu na 10 kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya kampuni hiyo ya tabia sita...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni

SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

 

10 years ago

Mwananchi

Maige: Wananchi walifukiwa wakiwa hai mgodi wa Bulyanhulu

Mbunge wa Msalala (CCM), Ezekiel Maige, amesema kuna watu walifukiwa wakiwa hai wakati wa uanzishaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu mkoani Shinyanga.

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAIPIGA JEKI ZAHANATI YA MWINGIRO GEITA


Maafisa wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii katikamgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, William Chungu (kulia) na Zuwena Senkondo (kushoto) wakikabidhi vifaa vinavyotumika wakati wakujifungulia kwa zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita .

Zuwena Senkondo wkikabidhi vifaa vya kujifungulia kwa mmoja wa wauguzi katika zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita

Kiongozi wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Sara Ezra Teri akikabidhi Video...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati na Madini atembelea mgodi wa dhahabu bulyanhulu

Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, Brad Gordon, (wapili kushoto), akimpa maelezo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga, (watatu kushoto), alipotembelea eneo la chini ya ardhi la mgodiwa Bulyanhulu kiasi cha kilomita 1.5 chini ya bardhi, Jumamosi Aprili 11, 2015. Kushoto ni mwenyekiti wa kampiuni ya uchimbaji dhahabu ya Mlalo, Mohammed Hussein.Naibu waziri wa nishati na madini, Charles Kitwanga, (kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya uchimbaji...

 

10 years ago

Habarileo

Mgodi Acacia waamriwa kuwalipa wanakijiji fidia

SERIKALI kupitia Baraza la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) imethibitisha kuwa maji yaliyotiririka kutoka moja ya mabwawa ya maji katika mgodi wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu yalikuwa na sumu.

 

5 years ago

Michuzi

MGODI WA BARRICK BULYANHULU WAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU NA WAZEE MSALALA…DC MACHA AWAPONGEZA

Mgodi wa Barrick Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya Uchimbaji Madini nchini ya Twiga Minerals Corporation umetoa msaada wa vifaa wezeshi kwa watu wenye ulemavu na kadi 450 za msamaha wa matibabu kwa wazee katika kata ya Bugarama na Bulyanhulu halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 8. 
Hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika leo Jumatano Juni 24,2020 katika kijiji cha Bunango kata ya Bugarama ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU, BGML, WAKABIDHI MIRADI YA THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA WILAYA YA MSALALA.

 Moja kati ya majengo ya shule ya Msingi Busindi, yaliyomaliziwa kujengwa na mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga. Mgodi huo unaomilikiwa na kampuni ya Acacia, umekabidhi miradi minne ya elimu na maji yenye thamani ya shilingi bilioni 1 ikiwa ni sera ya kampuni kujenga mahusiano mema na jamii inayozunguka migodi. Kaimu Mku wa Wilaya ya Msalala, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, Meneja Mkuu Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu,...

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA MAFUNZO YA IMTT

 Meneja Ufanisi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, BGML, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Elias Kasikila, (kushoto), akiagana na baadhi ya vijana wanaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa IMTT unafadhiliwa na mgodi huo, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye eneo la mgodi, huko Msalala mmoani Shinyanga. Mgodi huo umetuamia kiasi cha zaidi ya  nusu bilioni kila mwaka kufadhili mpango huo
Na K-VIS MEDIAMGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu, BGML,...

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil

 Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo, imekabidhi zawadi ya fedha Sh400 milioni katika kipindi cha mwezi mmoja cha Promosheni ya Cheza kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo pesa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani