Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
 Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo, imekabidhi zawadi ya fedha Sh400 milioni katika kipindi cha mwezi mmoja cha Promosheni ya Cheza kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo pesa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK4VUwzLKRdmtavTBu4*3tUX6O1*qc0zCbT1-p-4P5iYdLbEWcUJPrqZCzIb2tHn*QZO6qwiNvazymh9Dq2umwzj/1.jpg?width=650)
TIGO YAZAWADIA SIMU ZA KISASA WATEJA WAKE BORA WA FACEBOOK NA TWITTER
Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii George Katoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutoa tuzo kwa wateja wake bora walioshiriki zaidi katika kurasa za Facebook na Twiiter za kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja wa Ubora wa Huduma kwa Wateja Tigo Mwangaza Matotola na Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar.
Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar (wapili kulia) akimkabidhi zawadi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnLOOne78dFoupMcusk9kbxIsOi2StE6qFD7EJtdei60cZPaaVG2V-3BY8aXQrTr1477j*1jKbxave3Ve1-6pOCH/1.jpg?width=650)
TIGO YAZAWADIA MILIONI 830/- KWA WATEJA 2,335
Mshindi wa promosheni ya Tigo 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Bi. Germina Shayo (kushoto) akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika mapema leo katika makao makuu ya Tigo, Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa Tigo ishazawadia fedha taslimu shilingi milioni 830 kwa wateja 2,335 nchi nzima.… ...
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Airtel yazawadia washindi Sh130 mil
>Kampuni ya Simu za Mkononi ya Airtel Tanzania, imezawadia wateja wake zaidi ya Sh130 milioni na tiketi 12 za safari iliyolipiwa kila kitu kwenda Old Trafford, nchini Uingereza.
10 years ago
Dewji Blog01 May
ACACIA yazawadia wafanyakazi wake 510 wa mgodi wa Bulyanhulu
![](http://3.bp.blogspot.com/-1niXTIhvnIA/VUCb2LKI34I/AAAAAAAAS4M/iIkG-N8Ht1c/s1600/Michelle%2BAsh2.jpg)
9 years ago
MichuziAIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
-Wateja kupata Bonus ya mara tano zaidi kwa kununua muda wa maongezi au kifurushi cha yatosha kupitia Airtel Money-Wateja wote wa malipo ya awali kufaidika
Dar es Salaam, Jumatatu Agosti 17, 2015, Kampuni ya simu za mikononiya Airtel leo imezindua ofa kabambe kwa wateja...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/IMG_7058.jpg)
AIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa ya "Kamata Tano Zaidi" inayowawezesha wateja wa Airtel kupata mara tano ya muda wa maongezi. * Wateja kupata Bonus ya mara tano zaidi kwa kununua muda wa maongezi au kifurushi cha yatosha kupitia Airtel Money* Wateja wote wa malipo ya awali kufaidika Dar es Salaam, Jumatatu Agosti 17, 2015, Kampuni...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Tigo yatoa mil.400/- katika promosheni
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imekabidhi Sh milioni 400 ndani ya mwezi mmoja katika promosheni yake. Promosheni hiyo ni ya ‘Cheza Kwa Furaha Unaposhinda Kitita na Tigo Pesa’ huku Sh milioni 720 zikiendelea kushindaniwa.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O3uwWuSy6Mk/VJiKAjzj7VI/AAAAAAAAo0U/0De9CSu9fmg/s72-c/KOMONI.jpg)
UTAFITI: AINA ZA POMBE NA UFANISI WAKE KWA WATUMIAJI!
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3uwWuSy6Mk/VJiKAjzj7VI/AAAAAAAAo0U/0De9CSu9fmg/s1600/KOMONI.jpg)
Hupoteza uwezo wa kufikili wa mtumiaji Huongeza ufanisi wa viungo vya mwili vilivyo katikati ya miguu ya mtumiaji chini ya kiuno kwa mbele, hivyo kuongeza uwezekano wa mtumiaji kujiusisha na ngono zisizo salama na kubaka. Zaidi ya 60% ya kesi zote za kubaka zilizotokana na ulevi zimehusishwa na utumiaji wa pombe hizi!Hukakamaza misuli ya midomo na kuongeza ufanisi wa koromeo (voicebox),hivyo si ajabu kuwakuta...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
SAYANSI NA TEKNOLOJIA: Kampuni za simu zinasitiri taarifa za watumiaji wake?
>Ukikutana na Watanzania 10 angalau nusu yao watakuwa na kifaa au vifaa vya mawasiliano kama simu na kompyuta.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania