TIGO YAZAWADIA SIMU ZA KISASA WATEJA WAKE BORA WA FACEBOOK NA TWITTER
![](http://api.ning.com:80/files/ARLRee19CK4VUwzLKRdmtavTBu4*3tUX6O1*qc0zCbT1-p-4P5iYdLbEWcUJPrqZCzIb2tHn*QZO6qwiNvazymh9Dq2umwzj/1.jpg?width=650)
Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii George Katoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kutoa tuzo kwa wateja wake bora walioshiriki zaidi katika kurasa za Facebook na Twiiter za kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja wa Ubora wa Huduma kwa Wateja Tigo Mwangaza Matotola na Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar. Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii kutoka Tigo Bi. Samira Baamar (wapili kulia) akimkabidhi zawadi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jan
Tigo kurejesha gharama za laini za simu kwa wateja wake
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Tigo imezindua utaratibu wa kurudishia wateja wake gharama zote za ununuzi wa laini za simu kwa kuwapa muda wa maongezi na salio katika akaunti za Tigo pesa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnLOOne78dFoupMcusk9kbxIsOi2StE6qFD7EJtdei60cZPaaVG2V-3BY8aXQrTr1477j*1jKbxave3Ve1-6pOCH/1.jpg?width=650)
TIGO YAZAWADIA MILIONI 830/- KWA WATEJA 2,335
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja
![IMG_5004](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5004.jpg)
![IMG_4911](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_4911.jpg)
![IMG_5035](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_5035.jpg)
![picha 02](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/picha-02.png)
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
9 years ago
MichuziAIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
-Wateja kupata Bonus ya mara tano zaidi kwa kununua muda wa maongezi au kifurushi cha yatosha kupitia Airtel Money-Wateja wote wa malipo ya awali kufaidika
Dar es Salaam, Jumatatu Agosti 17, 2015, Kampuni ya simu za mikononiya Airtel leo imezindua ofa kabambe kwa wateja...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/IMG_7058.jpg)
AIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Wateja wa Tigo kupata huduma za kibenki kupitia simu zao
Mkuu wa huduma za kifedha wa Tigo, Bwana Andrew Hodgson, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na huduma za kibenki kwa wateja wa Tigo. Kulia ni Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja.
Msemaji wa kampuni ya Tigo Tanzania John Wanyanja, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.
Kampuni ya Tigo imeingia katika ushirikiano na mabenki makubwa 17 nchini ili kuwapatia wateja wa Tigo pesa uwezo wa kutuma na kupokea pesa kutoka katika akaounti zao za benki kwenda kwenye simu...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Tigo kutoa mrejesho kwa wateja wake
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Wateja wa Tigo sasa wanaweza kufurahia nyimbo millioni 36 kwenye simu zao za mkononi za smartphones
Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tigo Music( Tigo Kiboko Yako) ambayo itawawezesha wasanii wa ndani kuweza kupata kipato kwa kusikilizwa nyimbo zao kupitia simu za mkononi, pia itaambatana na tamasha kubwa litakalofanyika tarehe 24 mwezi huu viwanja vya Leaders Kinondoni.
Tigo Tanzania imetangaza uzinduzi wa Muziki wa Tigo ujulikanao kama “Tigo Music” kwa kushirikiana na Deezer, ambayo ni huduma ya kimataifa...