TIGO YAZAWADIA MILIONI 830/- KWA WATEJA 2,335

Mshindi wa promosheni ya Tigo 'Shinda Kitita na Tigo Pesa' Bi. Germina Shayo (kushoto) akipokea mfano wa hundi wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mratibu wa Promosheni wa Tigo Pesa Mary Rutta katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika mapema leo katika makao makuu ya Tigo, Makumbusho jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa Tigo ishazawadia fedha taslimu shilingi milioni 830 kwa wateja 2,335 nchi nzima.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TIGO YAZAWADIA SIMU ZA KISASA WATEJA WAKE BORA WA FACEBOOK NA TWITTER
11 years ago
GPL
TIGO YATOA MILIONI 400 KWA WATEJA WAKE
11 years ago
Dewji Blog10 Oct
Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja




11 years ago
GPL
WATEJA WA TIGO WAJISHINDIA SHILINGI MILIONI 160 MSIMU WA MWAKA MPYA
11 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wateja wa Tigo Pesa kunufaika na huduma ya “Tigo wekeza” kwa kupata faida kupitia akaunti zao
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu huduma mpya ya Tigo Wekeza iliyozinduliwa leo kwa ajili ya kuwawezesha wateja wa Tigo Pesa zaidi ya milioni 3.5 kuweza kupata gawiwo moja kwa moja katika akaunti zao za Tigo Pesa. Kushoto ni Profesa Andrew Temu kutoka mfuko wa fedha Financial Services Deepening Trust (FSDT), wa pili kulia ni Mkuu wa Idara ya Tigo Pesa Andrew Hodgson na wakala wa Tigo Pesa Ramadhan Wangwa.
Tigo Tanzania leo imekuwa...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
10 years ago
MichuziAIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
-Wateja kupata Bonus ya mara tano zaidi kwa kununua muda wa maongezi au kifurushi cha yatosha kupitia Airtel Money-Wateja wote wa malipo ya awali kufaidika
Dar es Salaam, Jumatatu Agosti 17, 2015, Kampuni ya simu za mikononiya Airtel leo imezindua ofa kabambe kwa wateja...
10 years ago
GPL
AIRTEL YAZAWADIA WATEJA WAKE MARA TANO ZAIDI MUDA WA MAONGEZI
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Tigo yaomba wateja wake radhi kwa kukatika kwa huduma zake!
[Dar es Salaam] Kampuni ya simu ya Tigo imeomba radhi wateja wake kutokana na kukatika kwa huduma zake katika sehemu nyingine nchini jana Novemba 8.2015.
Taarifa ya kampuni hiyo iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam imesema kukatika kwa huduma za Tigo “kulitokana na sababu zilizo nje ya uwezo kwa kampuni zilizo tokana na kukatika kwa mkongo sehemu tofauti tofauti.” Aidha taarifa hiyo iliendelea kusema kwamba “tatizo hilo sasa limeshughulikiwa kikamilifu na huduma zote...