UTAFITI: AINA ZA POMBE NA UFANISI WAKE KWA WATUMIAJI!
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3uwWuSy6Mk/VJiKAjzj7VI/AAAAAAAAo0U/0De9CSu9fmg/s72-c/KOMONI.jpg)
1. Pombe za Chimpumu, Dengerua, Kabungusi, Kangara, Komoni, Mbege na Chibuku.
Hupoteza uwezo wa kufikili wa mtumiaji Huongeza ufanisi wa viungo vya mwili vilivyo katikati ya miguu ya mtumiaji chini ya kiuno kwa mbele, hivyo kuongeza uwezekano wa mtumiaji kujiusisha na ngono zisizo salama na kubaka. Zaidi ya 60% ya kesi zote za kubaka zilizotokana na ulevi zimehusishwa na utumiaji wa pombe hizi!Hukakamaza misuli ya midomo na kuongeza ufanisi wa koromeo (voicebox),hivyo si ajabu kuwakuta...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Oct
Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani
POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.
11 years ago
Mwananchi16 May
Utafiti: Pombe huchochea hamu, uwezo wa kula zaidi
10 years ago
MichuziUtafiti unaonyesha kuwa magonjwa mengi na ajali yanachangiwa na matumizi ya pombe
Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa ya kifua Kikuu , Ukimwi ,Kansa pamoja na ajali zinachangiwa na matumizi ya pombe kwa kiwango cha juu, na vijana ndio waathirika wakubwa kutokana na kutokuwepo kwa sera ya matumizi ya pombe.
Utafiti huo umetolewa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu –Kituo cha Mwanza (NIMR),uliofanywa katika Mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza na ambao ulilenga vijana kuanzia Miaka 15-24.
Wakizungumza katika semina ya wadau wa masula...
9 years ago
Dewji Blog15 Aug
Bodi ya Mikopo yajivunia miaka 10 ya ufanisi wake
Bw. Cosmas Mwaisobwa (katikati), Mkurugenzi Msaidizi (Habari, Elimu na Mawasiliano) wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam (Ijumaa, Agosti 14, 2015). Wengine ni Bw. Omega Ngole, Meneja kutoka HESLB na Bi. Fatma Salum (kulia), Afisa Habari kutoka Idara ya Habari (MAELEZO). (Picha na HESLB).
Na Mwandishi Wetu
Idadi ya wanafunzi wanaopata mikopo kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongezeka kutoka 42,729...
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Tigo yazawadia watumiaji wake Sh400 mil
11 years ago
Mwananchi01 Jul
SAYANSI NA TEKNOLOJIA: Kampuni za simu zinasitiri taarifa za watumiaji wake?
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Viongozi wa aina hii mwisho wake lini?
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/G-0527-9_xY/default.jpg)