Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa aina hii mwisho wake lini?

Inashangaza. Kuna mambo tunaendelea kuyalea kila kukicha pamoja na kujua athari zake. Tunafahamu wazi, ili timu zetu zifanye vizuri kwenye mashindano, zinahitaji maandalizi mazuri yenye malengo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je uliandika lini mwisho barua ya Mahaba ?

Jiunge na wanafunzi wa shule ya upili ya Starehe ambao wanasema kuwa wamelazimika kuandika barua za mahaba baada ya kupigwa marufuku kwa simu

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mizaha hii ya JK hadi lini?

MTU yeyote aliyezoea mizaha (maneno au vitendo vya kumfanyia mtu masihara; goya, utani, dhihaka) hawawezi kuhangaika kumtafakari sana Rais wetu Jakaya Kikwete. Kwa mtu wa aina hiyo kila atakachokisema au...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Danadana hizi za viongozi hadi lini?

HIVI karibuni Umoja wa Wafanyabiashara Walemavu Dar es Salaam (Uwawada), walivamia ofisi ya Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa kwa madai kuwa ameshindwa kutekeleza ahadi ya kuwapatia maeneo ya...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Aibu hii Dar mpaka lini?

TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.

Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.

Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunasubiri nini kuwamwaga watu wa aina hii?

Ukisikiliza vilio vya wasanii wengi nchini, iwe muziki au filamu, watakuambia ni wizi wa kazi zao unaofanywa na wajanja wachache kila kukicha.

 

10 years ago

Bongo Movies

Faiza Awapa Makavu Vijana wa Aina Hii

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally  ameonekana kuungwa mkono na wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha na kufikia kufanywa vitendo visivyo faa.

“Vijana wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu .....Habari za mji huu zina sikutisha sana - kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani...

 

10 years ago

Raia Mwema

Wabunge aina hii watoswe wasirejee kabisa bungeni

BUNGE la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limefikia tamati mapema mwezi Julai mwaka huu, hu

Joseph Mihangwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani