Aibu hii Dar mpaka lini?
TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.
Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.
Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.
Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...
Raia Tanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania