Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIASA MPAKA KITANDANI…! AIBU YENU!

HII inaitwa ‘wiki ya lala salama’ kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili ijayo ya Oktoba 25. Naamini kila ulimi wa mtu unazungumzia siasa. Iwe kwa mapenzi ya dhati au kusikiasikia tu!Nasema kusikiasikia kwa sababu kuna watu wangu wa karibu nimebaini wanafuata mkumbo kwenye siasa. Yaani wao si wanasiasa, wala hawaijui siasa, ila mdomoni wanavyobwabwaja utadhani wao ndiyo waheshimiwa. Mada yangu ya leo inatokana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Aibu hii Dar mpaka lini?

TAKRIBAN watu watano wameripotiwa kufa kwa ugonjwa wa kipindupindu wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, huku wengine 34 wakiugua ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa taarifa, wagonjwa hao wanatoka maeneo ya Kijitonyama, Kimara, Manzese, Tandale, Saranga, Makumbusho, Kimara na Mwananyamala.

Imezoeleka ugonjwa huu kuibuka wakati wa msimu wa mvua kutokana na mazingira kwa kipindi hicho kuwa machafu kwa sababu ya majitaka yanayozagaa ovyo mitaani.

Hata hivyo, kipindupindu ni ugonjwa...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

11 years ago

GPL

MIAKA 10 YA... MATESO KITANDANI

HUJAFA hujaumbika. Hicho ndicho unachoweza kusema ukimuona na baadaye kumsikiliza Disnia Rajabu,32, mkazi wa mtaa wa Geza Ulole mkoani Tanga ambaye anaumwa uvimbe wa mguu kwa muda wa miaka 10 sasa bila kupata nafuu. Disnia hakuzaliwa na tatizo hilo, bali alilipata ukubwani, tena akiwa tayari ameshaolewa, lakini katika hali ya masikitiko makubwa, anadai mumewe alimkimbia mara baada ya kugundua kuwa yupo katika majaribu makubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asomewa shtaka kitandani

DIWANI wa Kata ya Magata Kalutanga, Geofrey Ezekiel (CCM), aliyekamatwa juzi na kuwekwa ndani kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Limbris Kipuyo, jana alisomewa shtaka akiwa kitandani katika ...

 

10 years ago

GPL

AUNT LULU HOI KITANDANI

Na Hamida Hassan
Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ yupo hoi kitandani baada ya kusumbuliwa na jino la juu ambalo anahofia kulitoa. Staa wa Filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Akizungumza na Amani, Aunt Lulu alisema kuwa anajiona amekonda kwa maumivu ya jino tu na kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa marafiki zake anaogopa kwenda kuling’oa. “Yaani...

 

11 years ago

GPL

WEMA AMREKODI DIAMOND KITANDANI

Stori: Imelda Mtema
SINI ya malovee inaendelea! Penzi lenye historia ya kushamiri, kumwagana na kurudiana limezidi kuchukua sura mpya, safari hii, Wema Sepetu ‘Madam’ amenaswa akimrekodi video ‘bebi’ wake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Wema na Diamond. Sosi ya kuvuja kwa sini hiyo mpya ilitokea Ijumaa iliyopita ambapo bila hiyana, bibie Wema aliamua kuitupia video katika Mtandao wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani