Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Pombe huchochea hamu, uwezo wa kula zaidi

>Taasisi ya kimataifa ya uwiano wa uzito na lishe ya Slimming World yenye makao yake makuu nchini Uingereza, imefanya uchunguzi kuhusu watu wanaokunywa pombe na kubaini kuwa inawaongezea kasi ya kula kupita kiasi ndani ya saa 24.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

9 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

9 years ago

GPL

KUPOTEZA HAMU YA KULA “ANOREXIA NERVOSA”

Hili ni tatizo la kukosa kabisa hamu ya kula na kumfanya mtu apungue sana uzito kutokana na kuogopa kunenepa au kuongezeka uzito. Watu wanaopata zaidi tatizo hili ni wale waliokusudia hasa kwa dhati kujinyima kula ili wapungue uzito na mwili kuwa mwembamba hivyo hujinyima kula kwa kiasi kikubwa kwa kujihisi kuwa wana uzito au miili mikubwa au kujihisi wanene. Tatizo hili la kujihisi unene ni la kisaikolojia zaidi kwani tunaposema...

 

10 years ago

BBCSwahili

Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha:Utafiti

Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wayazungumzia matokeo ya utafiti wa Uwezo

Wakati sera ya Elimu ya Mwaka 1995 inayotumika sasa inataka mtoto anayemaliza darasa la pili awe na uwezo wa kusoma na kufanya hesabu za darasa la kwanza na pili, matokeo ya utafiti uliofanywa na Uwezo iliyo chini ya asasi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yanaonyesha lengo hilo limekuwa halifikiwi shuleni.

 

10 years ago

Habarileo

Utafiti: Unywaji pombe umeongeza watoto mitaani

POMBE imebainika kuleta athari nyingi za kijamii na kiuchumi miongoni mwake ikitajwa kuchangia ongezeko la watoto wanaoishi mitaani na ukatili wa kijinsia.

 

10 years ago

Michuzi

UTAFITI: AINA ZA POMBE NA UFANISI WAKE KWA WATUMIAJI!

1. Pombe za Chimpumu, Dengerua, Kabungusi, Kangara, Komoni, Mbege na Chibuku.
Hupoteza uwezo wa kufikili wa mtumiaji Huongeza ufanisi wa viungo vya mwili vilivyo katikati ya miguu ya mtumiaji chini ya kiuno kwa mbele, hivyo kuongeza uwezekano wa mtumiaji kujiusisha na ngono zisizo salama na kubaka. Zaidi ya 60% ya kesi zote za kubaka zilizotokana na ulevi zimehusishwa na utumiaji wa pombe hizi!Hukakamaza misuli ya midomo na kuongeza ufanisi wa koromeo (voicebox),hivyo si ajabu kuwakuta...

 

10 years ago

Michuzi

Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa mengi na ajali yanachangiwa na matumizi ya pombe

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa ya kifua Kikuu , Ukimwi ,Kansa pamoja na ajali zinachangiwa na matumizi ya pombe kwa kiwango cha juu, na vijana ndio waathirika wakubwa kutokana na kutokuwepo kwa sera ya matumizi ya pombe.
Utafiti huo umetolewa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu –Kituo cha Mwanza (NIMR),uliofanywa katika Mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza na ambao ulilenga vijana kuanzia Miaka 15-24.
Wakizungumza katika semina ya wadau wa masula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani