Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha:Utafiti

Utafiti umebaini kuwa matumizi ya Paracetamol kwa siku 7 unapunguza uzalishaji wa homoni za kiume na uwezo wa watoto mvulana kuzalisha baadaye

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Paracetamol hufupisha maisha

Matumizi ya kila siku ya Paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo ,kiharusi na kusababisha mtu kuaga dunia mapema

 

10 years ago

Mtanzania

Utafiti: Paracetamol hufupisha maisha ya binadamu

paracetamol_0MWANDISHI WETU NA MASHIRIKA YA HABARI
MATUMIZI ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu za paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, kiharusi na kufupisha maisha ya binadamu, utafiti mpya umeonya.
Paracetamol hupendelewa zaidi na madaktari wengi hudai zi salama kulinganisha na aspirin, ambayo imehusishwa na kuvuja damu tumboni na ibuprofen iliyohusishwa na magonjwa ya moyo na kiharusi.
Lakini watafiti wa Uingereza waliofanya uchunguzi huo uliowahusisha wagonjwa 666,000 wanasema hatari...

 

10 years ago

Michuzi

WAJENGEWA UWEZO ILI KUFANYA UTAFITI WA HALI YA KIELIMU WILAYANI TARIME KUPITIA MRADI WA UWEZO.

Washiriki wa Semina ya wadau watakaoshiriki katika Utafiti wa Ujifunzaji wa Watoto (Wanafunzi) walio na Umri kati ya Miaka Saba hadi 16 katika Kusoma Kiswahili, Kiingereza na Kufanya Hesabu inayofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime kuanzia leo Septemba 22,2015 hadi kesho Septemba 23, 2015 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Enock Waitara (Wa pili kushoto Waliokaa) ambae ni Afisa Elimu Wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Na:Binagi Media GroupSemina hiyo imeratibiwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanzania ina uwezo wa kuzalisha mchele kutosheleza soko la EAC

Kumekuwa na wasiwasi juu ya uingizaji wa mchele kwa njia za magendo nchini Tanzania, hali ambayo inatajwa kuathiri thamani ya mchele unaozalishwa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Tanzania kinara wa kuzalisha mpunga A. Mashariki kwa asilimia 65

Licha ya taarifa mbalimbali kuonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania wameajiriwa na sekta ya kilimo, hali ya sekta hiyo bado si ya kuvutia.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wayazungumzia matokeo ya utafiti wa Uwezo

Wakati sera ya Elimu ya Mwaka 1995 inayotumika sasa inataka mtoto anayemaliza darasa la pili awe na uwezo wa kusoma na kufanya hesabu za darasa la kwanza na pili, matokeo ya utafiti uliofanywa na Uwezo iliyo chini ya asasi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yanaonyesha lengo hilo limekuwa halifikiwi shuleni.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Pombe huchochea hamu, uwezo wa kula zaidi

>Taasisi ya kimataifa ya uwiano wa uzito na lishe ya Slimming World yenye makao yake makuu nchini Uingereza, imefanya uchunguzi kuhusu watu wanaokunywa pombe na kubaini kuwa inawaongezea kasi ya kula kupita kiasi ndani ya saa 24.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani