Utafiti: Paracetamol hufupisha maisha ya binadamu
MWANDISHI WETU NA MASHIRIKA YA HABARI
MATUMIZI ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu za paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, kiharusi na kufupisha maisha ya binadamu, utafiti mpya umeonya.
Paracetamol hupendelewa zaidi na madaktari wengi hudai zi salama kulinganisha na aspirin, ambayo imehusishwa na kuvuja damu tumboni na ibuprofen iliyohusishwa na magonjwa ya moyo na kiharusi.
Lakini watafiti wa Uingereza waliofanya uchunguzi huo uliowahusisha wagonjwa 666,000 wanasema hatari...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Utafiti:Paracetamol hufupisha maisha
10 years ago
BBCSwahili21 May
Paracetamol yaathiri uwezo wa kuzalisha:Utafiti
9 years ago
Bongo502 Oct
Utafiti: Huu ndio umri ambao binadamu anakuwa na furaha zaidi
9 years ago
MichuziHALFA YA KUFUNGA KONGAMANO LA 29 LA SAYANSI LILILOANDALIWA NA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU.
5 years ago
MichuziDawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.
Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Utafiti: Pilipili huchangia maisha marefu
9 years ago
StarTV29 Sep
Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.
Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.
Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
Mzumbe, Tampere kuendesha utafiti kuimarisha maisha nchini
CHUO Kikuu Mzumbe kimeanzisha ushirikiano na Chuo Kikuu cha Tampere cha nchini Finland kufanya utafiti utakaosaidia kujenga uwezo na hali bora ya maisha katika kaya nchini Tanzania. Kaimu Makamu Mkuu...