Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.

Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.

Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.

 

Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kichaa cha Mbwa: Ugonjwa unaowaathiri wakazi Dodoma

>Mbwa ni mnyama wa kufugwa mwenye manufaa chekwa. Anaisaidia jamii kwa mambo mbalimbali ikiwemo ulinzi, kazi za kiusalama na  hata utunzaji wa mazingira.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mbwa wenye kichaa waua mwanafunzi



 Wananchi wenye hasira wawaua na kuwachoma moto
Na Mwandishi Wetu
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Iblahim Chipungahelom ameuawa na kisha kuliwa nyama na mbwa wanaodaiwa kuugua kicha kwa kukosa chakula kwa muda mrefu.
Tukio hilo la kusikitisha na lililoleta simanzi kubwa kwa wakazi wa Ludewa Mjini, lilitokea Agosti 8, mwaka huu, saa saba mchana katika eneo la Ikulu, ambapo mtoto huyo na wenzake walikuwa wakipita jirani na nyumba ya Bosco Lingalangala kwenda kuchuma...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbwa avalishwa na kutembea kama binadamu

Mbwa aliyekuwa amevalia kama mwanadamu huku akitembea kwa miguu yake miwili amezua mjadala katika mitandao ya kijamii.

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO

Waandishi wetu
MTOTO mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake mtandaoni akiwa ametinga mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi. Mtoto mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’. Linnah alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na kuwafanya watu wengi wanaotumia...

 

10 years ago

Mtanzania

Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku

Pg 1upinzani wasimamaNa Waandishi Wetu, Dar na Dodoma

WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...

 

10 years ago

GPL

KIMINI CHA TRAFIKI CHAZUA BALAA

mwandishi wetu
Kimini alichovaa trafiki wa kike ambaye jina lake halikupatikana mara moja, kinadaiwa kuzua balaa huku wahuni wakimpigia miluzi. Muonekana wa kimini alichokuwa amevaa trafiki. Tukio hilo lililojaza kadamnasi na kushuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri wiki iliyopita maeneo ya Mwenge jijini Dar, majira ya asubuhi.Bila kujua ‘amefotolewa’ trafiki huyo alikuwa amesimama pembeni akimtazama...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA

Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shani Ramadhani
STAA wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar. Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kifo cha mjamzito chazua tafrani Sumbawanga

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Hussein MwinyiKIFO cha mjamzito aliyekuwa akijifungua katika kituo cha afya Mtowisa, wilayani Sumbawanga, kimezua tafrani baada ya wananchi kushambulia gari la kubeba wagonjwa wakitaka kulichoma kwa madai kwamba limechangia.

 

11 years ago

Mwananchi

Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki

Dar es Salaam. Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana walikumbwa na taharuki baada ya kituo cha daladala cha Mwenge kuhamishiwa eneo la Makumbusho .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani