Mbwa wenye kichaa waua mwanafunzi
Wananchi wenye hasira wawaua na kuwachoma moto
Na Mwandishi Wetu
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Iblahim Chipungahelom ameuawa na kisha kuliwa nyama na mbwa wanaodaiwa kuugua kicha kwa kukosa chakula kwa muda mrefu.
Tukio hilo la kusikitisha na lililoleta simanzi kubwa kwa wakazi wa Ludewa Mjini, lilitokea Agosti 8, mwaka huu, saa saba mchana katika eneo la Ikulu, ambapo mtoto huyo na wenzake walikuwa wakipita jirani na nyumba ya Bosco Lingalangala kwenda kuchuma...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Kichaa cha Mbwa: Ugonjwa unaowaathiri wakazi Dodoma
9 years ago
StarTV29 Sep
Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.
Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.
Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Mkokoteni wa ng'ombe waua mwanafunzi
MWANAFUNZI wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Galanzala wilayani Iramba, amekufa papo hapo baada ya kugongwa na mkokoteni wa kuvutwa na ng'ombe, uliokuwa ukiongoza na baba yake mlezi.
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
Michuzi12 Apr
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio)
Kumekuwepo na fununu zikienea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusu Wanawake wenye maumbile makubwa au Hips wana nafasi kubwa ya kuzaa watoto wenye uwezo wa kiakili. Hapa nakukutanisha na Dr. Isaac Maro akiuelezea ukweli wa mambo. Bonyeza Play hapa chini kuipata hii yote. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]
The post Ni kweli wanawake wenye maumbile makubwa huzaa watoto wenye akili..?(+Audio) appeared first on...