KIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA
Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shani Ramadhani STAA wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar. Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO
11 years ago
GPL
KIVAZI CHA SAJENT CHAZUA BALAA UKUMBINI!
11 years ago
GPL
KIVAZI CHA JOKATE MH!
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku
Na Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...
10 years ago
GPL
KIMINI CHA TRAFIKI CHAZUA BALAA
10 years ago
GPLKIVAZI CHA FAIZA GUMZO
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki
11 years ago
Habarileo30 Dec
Kifo cha mjamzito chazua tafrani Sumbawanga
KIFO cha mjamzito aliyekuwa akijifungua katika kituo cha afya Mtowisa, wilayani Sumbawanga, kimezua tafrani baada ya wananchi kushambulia gari la kubeba wagonjwa wakitaka kulichoma kwa madai kwamba limechangia.
10 years ago
GPL
KIVAZI CHA LULU INSTAGRAM NI SHEEDAH!