Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIVAZI CHA LULU INSTAGRAM NI SHEEDAH!

Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo. KIVAZI alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram. Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti yake ya Instagram ambapo  ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno

Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori  na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.

Back to the Topic

Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe comments na like za...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA JOKATE MH!

Stori:  Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo amezua utata baada ya kupiga picha akiwa ametinga suruali iliyochanika. Mwanamitindo na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo. Akizungumzia picha hiyo ambayo imevuja katika baadhi ya mitandao, Jokate alisema alivalia mavazi hayo hivi karibuni Afrika Kusini alipokuwa amekwenda kurekodi wimbo wake mpya (hakuutaja jina) na alivaa makusudi ili...

 

10 years ago

GPL

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE INSTAGRAM

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ . MUIGIZAJI wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake. Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Arudi Instagram Kwa Kishindo!

Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa baadhi ya maadui zake kufuatia kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, mfanyabiashara maarufu seky.

Jana kupitia ukurasa wake mpya wa instagram unaofahamika kwa jina la "lizymichael ", msanii huyo mwenye mvuto wa aina yake alirudi rasmi baada ya kuona maneno yanazidi kwenye mitandao ya kijamii, na kuamua...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA FAIZA GUMZO

Mzazi mwenzake Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally. Imelda mtema
MZAZI mwenzake Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutinga kwenye shoo ya Zari White Party pande za Mlimani City jijini Dar akiwa ametinga shati pekee huku upande wa chini wa mwili wake akiwa hajavaa chochote. Akizungumza na mwanahabari wetu, Faiza...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA

Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shani Ramadhani
STAA wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar. Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO

Waandishi wetu
MTOTO mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake mtandaoni akiwa ametinga mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi. Mtoto mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’. Linnah alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na kuwafanya watu wengi wanaotumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani