Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu Arudi Instagram Kwa Kishindo!

Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa baadhi ya maadui zake kufuatia kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, mfanyabiashara maarufu seky.

Jana kupitia ukurasa wake mpya wa instagram unaofahamika kwa jina la "lizymichael ", msanii huyo mwenye mvuto wa aina yake alirudi rasmi baada ya kuona maneno yanazidi kwenye mitandao ya kijamii, na kuamua...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Ronaldo arudi kwa kishindo

Rio de Janeiro, Brazil. Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amethibitisha kwamba yuko fiti kwa fainali za Kombe la Dunia baada ya juzi kuisadia Ureno kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya Jamhuri ya Ireland kwenye Uwanja wa MetLife nchini Ureno.

 

9 years ago

StarTV

Kaseja arudi kwa kishindo Mbeya City

BAADA ya msimu mmoja wa kuwa nje, hatimaye mlinda mlango mkongwe Tanzania, Juma Kaseja Juma amerudi kazini baada ya jana kusaini Mkataba wa miezi sita kujiunga na Mbeya City FC. Kaseja amekuwa mchezaji huru tangu aondoke Yanga SC msimu uliopita- ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu arejee Jangwani akitokea klabu aliyoichezea kwa miaka tisa, Simba SC.
Kaseja alijiunga na Simba SC mwaka 2002 akitokea Moro United kabla ya mwaka 2009, kuhamia Yanga kwa mwaka mmoja kabla ya kurejea Msimbazi mwaka...

 

10 years ago

Mtanzania

Cameron arudi Downing Street kwa kishindo

david-cameron-and-wife-pic-dm-1043869LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anatarajia kuunda Serikali ya chama chake cha Conservative bila kuhitaji muungano au ushirikiano na vyama vingine tofauti na Serikali aliyokuwa akiiongoza kabla ya uchaguzi huu uliompa ushindi wa kishindo.
Hadi kufikia jana mchana matokeo yalikuwa yakionyesha kuwa chama chake kilikuwa kimeshinda viti 331 kati ya 635 ya matokeo yaliyokwisha patikana. Jumla ya viti vyote ni 650 na ili chama kiweze kuunda Serikali peke yake kinahitaji...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Lulu Arudi Mzigoni Baada ya Kuadimika

Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa muda sasa hajaonekana mbele ya kamera za kurekodi movies, leo kupitia ukurasa wake mtandaoni  ame-share nasi picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni  waki-shoot Movie huku akionekana mwenye nguvu na furaha.

  “Back to Work...Doing wat I always Do Best..! On Set", Lulu aliandika kwenye picha hiyo.

Hongera saba Lulu kwa kurudi kazini, mashabiki wako naamni wamefarijika na hii

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA LULU INSTAGRAM NI SHEEDAH!

Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo. KIVAZI alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram. Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti yake ya Instagram ambapo  ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.… ...

 

10 years ago

GPL

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE INSTAGRAM

Muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ . MUIGIZAJI wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aliyekuwa na wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake. Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo...

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 7 za Lulu kuhusu kutoka na Tekno wa Nigeria, na caption za Kiswahili Instagram.

Kisa kizima kimeanzia Instagram kwenye picha zilizopostiwa, mwimbaji staa wa Nigeria Tekno miles ambaye alikuja Tanzania weekend iliyopita kwa ajili ya show ndio amehusishwa kama muhusika mkuu kwenye hii ishu, kuipata yote kuanzia mwanzo bonyeza play kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]

The post Dakika 7 za Lulu kuhusu kutoka na Tekno wa Nigeria, na caption za Kiswahili Instagram. appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani