Kaseja arudi kwa kishindo Mbeya City
BAADA ya msimu mmoja wa kuwa nje, hatimaye mlinda mlango mkongwe Tanzania, Juma Kaseja Juma amerudi kazini baada ya jana kusaini Mkataba wa miezi sita kujiunga na Mbeya City FC.
Kaseja amekuwa mchezaji huru tangu aondoke Yanga SC msimu uliopita- ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu arejee Jangwani akitokea klabu aliyoichezea kwa miaka tisa, Simba SC.
Kaseja alijiunga na Simba SC mwaka 2002 akitokea Moro United kabla ya mwaka 2009, kuhamia Yanga kwa mwaka mmoja kabla ya kurejea Msimbazi mwaka...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo21 Aug
Kaseja mali ya Mbeya City
KIPA mkongwe nchini, Juma Kaseja amelikimbia Jiji la Dar es Salaam na kuanzia msimu ujao atakuwa jijini Mbeya baada ya kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Mbeya City.
10 years ago
Habarileo07 Aug
Mbeya City, Mwadui zamwania Kaseja
BAADA ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumweka huru aliyekuwa golikipa wa Yanga Juma Kaseja klabu za Mbeya City, Mwadui FC na Ndanda FC zinapigana vikumbo kuwania saini yake.
10 years ago
Bongo Movies25 Apr
Lulu Arudi Instagram Kwa Kishindo!
Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa baadhi ya maadui zake kufuatia kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, mfanyabiashara maarufu seky.
Jana kupitia ukurasa wake mpya wa instagram unaofahamika kwa jina la "lizymichael ", msanii huyo mwenye mvuto wa aina yake alirudi rasmi baada ya kuona maneno yanazidi kwenye mitandao ya kijamii, na kuamua...
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Brazil 2014: Ronaldo arudi kwa kishindo
10 years ago
Mtanzania09 May
Cameron arudi Downing Street kwa kishindo
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, David Cameron, anatarajia kuunda Serikali ya chama chake cha Conservative bila kuhitaji muungano au ushirikiano na vyama vingine tofauti na Serikali aliyokuwa akiiongoza kabla ya uchaguzi huu uliompa ushindi wa kishindo.
Hadi kufikia jana mchana matokeo yalikuwa yakionyesha kuwa chama chake kilikuwa kimeshinda viti 331 kati ya 635 ya matokeo yaliyokwisha patikana. Jumla ya viti vyote ni 650 na ili chama kiweze kuunda Serikali peke yake kinahitaji...
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-73EVFCmSVVs/VXhAL54diDI/AAAAAAABhZ0/PEfPMAqx7Hw/s72-c/T.jpg)
WAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-73EVFCmSVVs/VXhAL54diDI/AAAAAAABhZ0/PEfPMAqx7Hw/s640/T.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya leo June 10, 2015 baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-v4AXOl_IWj0/VXhALydjpxI/AAAAAAABhZ4/85jjDyks-o0/s640/2.jpg)
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mbeya City kujipima kwa Shooting
TIMU ya Mbeya City inatarajiwa kujipima na Ruvu Shooting Jumapili katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa kwenye uwanja wa Mabatini, Mlandizi ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao kuekelea michuano ya Ligi Kuu.
9 years ago
Vijimambo21 Aug
Kaseja atua Mbeya, Ivo asaka timu nje
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2841060/highRes/1097591/-/maxw/600/-/14bcsqmz/-/kaseja.jpg)
By Justa Musa, Oliver AlbertDar/Mbeya. Wakati dirisha la usajili likifungwa jana usiku, kipa Juma Kaseja amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Mbeya City, huku mwenzake Ivo Mapunda akitangaza kusaka timu nje ya nchi.Makipa hao wa zamani wa Taifa Stars, Kaseja na Ivo msimu uliopita hakuwa mzuri kwao kutokana na kuingia katika migogoro na klabu zao, Yanga na Simba.Kaseja...