Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno

Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori  na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.

Back to the Topic

Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe comments na like za...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA LULU INSTAGRAM NI SHEEDAH!

Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo. KIVAZI alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram. Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti yake ya Instagram ambapo  ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chama cha Msingi Kamachumu chaonyesha uthabiti wa ushirika

BAADA ya ushirika kugeuzwa mradi binafsi wa watu wanaochaguliwa au kuajiriwa na wanaushirika kwa ajili ya kuusimamia na kuuendesha hapa nchini, yameanza kujitokeza mabadiliko yanayodhihirisha kuwa wanaushirika wamechoshwa na hali...

 

10 years ago

Bongo Movies

WOLPER: Aonyesha Tatoo Yake Mpya

Hatimaye muigizaji wa filamu, Jackline Wolper akiwa kwenye mavazi ya ki-TOM BOY, leo hii ameonyesha Tatoo yake mpya aliyopo sehemu ya juu  kwenye mkono wake wa kushoto.

Hivi majuzi mitandaoni kulikuwa na picha zilizomuonyesha mwanadada huyo akiwa anachorwa tatoo na jamaa wanaofahamika kama MALAIKA TATOO.

Katika moja ya picha hizo ilyomuonyesha Wolper ameketi kwenye kiti cha kibosi ya cha kuchorewa huku amevalia mavazi ya ki-tom boy meusi na bonge la NDULA, huku jamaa mchoraji akionekana...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome?

Vijimambo: Picha hii ya mrembo na mwigizaji  wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.

Irene aliibandika picha hii  mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.

Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karivu kabisa na shingo yake.

Wengi walijiongeza kuwa...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA JOKATE MH!

Stori:  Imelda Mtema
MWANAMITINDO na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo amezua utata baada ya kupiga picha akiwa ametinga suruali iliyochanika. Mwanamitindo na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo. Akizungumzia picha hiyo ambayo imevuja katika baadhi ya mitandao, Jokate alisema alivalia mavazi hayo hivi karibuni Afrika Kusini alipokuwa amekwenda kurekodi wimbo wake mpya (hakuutaja jina) na alivaa makusudi ili...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA FAIZA GUMZO

Mzazi mwenzake Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally. Imelda mtema
MZAZI mwenzake Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’, Faiza Ally hivi karibuni alizua gumzo baada ya kutinga kwenye shoo ya Zari White Party pande za Mlimani City jijini Dar akiwa ametinga shati pekee huku upande wa chini wa mwili wake akiwa hajavaa chochote. Akizungumza na mwanahabari wetu, Faiza...

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO

Waandishi wetu
MTOTO mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake mtandaoni akiwa ametinga mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi. Mtoto mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’. Linnah alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na kuwafanya watu wengi wanaotumia...

 

10 years ago

GPL

KIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA

Staa wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shani Ramadhani
STAA wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amezua utata kufuatia kivazi alichopigilia usiku wa siku ya bethidei yake iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar. Kivazi hicho alichokuwa amekivaa Shilole, kilikuwa kimeacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake jambo lililozua mjadala kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani