WOLPER: Aonyesha Tatoo Yake Mpya
Hatimaye muigizaji wa filamu, Jackline Wolper akiwa kwenye mavazi ya ki-TOM BOY, leo hii ameonyesha Tatoo yake mpya aliyopo sehemu ya juu kwenye mkono wake wa kushoto.
Hivi majuzi mitandaoni kulikuwa na picha zilizomuonyesha mwanadada huyo akiwa anachorwa tatoo na jamaa wanaofahamika kama MALAIKA TATOO.
Katika moja ya picha hizo ilyomuonyesha Wolper ameketi kwenye kiti cha kibosi ya cha kuchorewa huku amevalia mavazi ya ki-tom boy meusi na bonge la NDULA, huku jamaa mchoraji akionekana...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies21 Feb
PICHA: Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome?
Vijimambo: Picha hii ya mrembo na mwigizaji wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.
Irene aliibandika picha hii mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.
Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karivu kabisa na shingo yake.
Wengi walijiongeza kuwa...
10 years ago
Bongo Movies10 Jul
Leo Ikiwa Ni 40 ya Mtoto Wake, Aunt Ezekiel Aonyesha Tattoo Yake ya Mpya ya Mgongoni
Staa wa bongo Movies, Aunt Ezekiel kupitia ukurasa wake mtandaoni ameweka picha hii akiwa amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake, ikiwa leo mtoto wake Cookie amefikisha siku 40 tangu kuzaliwa nakuandika haya kwa lugha ya kingereza;
“Reason 2 Live 2 Breath 2 Fight 2 Try 2 Dream and Succeed .To Love to hurt ,Forgetan an 4give.Reason for my existence is Her an Him Ooooooh!God blessed me with ma my amazing Gal an Boy .And am thankful ..HAPPY 40 DAYS MY WORLD.....”
Kwa tafsiri...
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.
Back to the Topic
Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe comments na like za...
11 years ago
GPL
DIAMOND AONYESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE
9 years ago
Bongo Movies14 Nov
Kwa Mara ya Kwanza Wastara Aonyesha Miguu Yake na Kuandika Mazito
Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kama unavyoiona pic
Huyo ndio wastara nilivyo hakuna kilichopungua zaidi ya hicho unachokiona
Kuwa mlemavu ni kitu kingine tofauti ukiwa mzima hivyo kusikia maumivu na kuumwa mguu ni kitu cha kawaida
Sasa nipo nairobi kimatibabu na tatizo ni operetion ya kwanza nilikosewa ndio sababu ya maumivu ya mara kwa mara madaktari wameshajua nini cha...
10 years ago
GPL
MADONNA AONYESHA MAKALIO YAKE KATIKA RED CARPET ZA TUZO ZA GRAMMY 2015
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mbatia aonyesha wasiwasi juu ya sera mpya ya elimu
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Zanzibar, Musa Kombo Musa (kulia), akimkaribisha Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia (katikati), ili azungumze na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akitoa tamko hilo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosene Nyambabe.
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Taifa, James Mbatia (kulia), akionesha kitabu cha Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo...
10 years ago
GPLMTOTO WA CHRISTIANO RONALDO AONYESHA KIWANGO KWA KUUCHEZEA MPIRA KAMA BABA YAKE