KIMINI CHA TRAFIKI CHAZUA BALAA
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3IAaK9jvLUVfuZXL5*-K4sl2oedf1dTUtGfdeso91VF0YMrzEo4T74lT1ELQNsr2Wiz1bfIb-Z08YJe03IDbSsj/BACK.jpg)
mwandishi wetu Kimini alichovaa trafiki wa kike ambaye jina lake halikupatikana mara moja, kinadaiwa kuzua balaa huku wahuni wakimpigia miluzi. Muonekana wa kimini alichokuwa amevaa trafiki. Tukio hilo lililojaza kadamnasi na kushuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri wiki iliyopita maeneo ya Mwenge jijini Dar, majira ya asubuhi.Bila kujua ‘amefotolewa’ trafiki huyo alikuwa amesimama pembeni akimtazama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOrSQtQ4NrBYehDjEdvcvjhHf97CV8UJM9J4nAopSZsT0gKnj3J2t4xvZ5iu70AG8GX4zWl65NbD*2hksDzOnEVw/sajent.jpg)
KIVAZI CHA SAJENT CHAZUA BALAA UKUMBINI!
10 years ago
Mtanzania29 May
Chakula chazua balaa vyuo Wizara ya Afya
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SAALAM
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imewatangazia wanafunzi katika vyuo ambavyo vipo chini ya wizara hiyo kuanza kujitegemea kwa chakula kuanzia muhula ujao wa masomo 2015/2016.
Wizara imetoa taarifa kwa kuwaandikia barua wakuu wa vyuo vya Serikali vya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kumbukumbu Namba JC.209/558/03/58 ya Mei 20, mwaka huu.
Barua hiyo iliyosainiwa na Dk. Otilia Gowelle kwa niaba ya Katibu Mkuu, ilieleza kuwa uamuzi huo umetokana na ongezeko kubwa la...
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku
Na Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sT-mI3qB-hesRW5bAaQmz0EoL*528dFsyQ87u1eJ5ot4uHF4Lo10dMKP3TfDOI8T9EJqSa3fNiW4ouMNfK5NtzgJeuYyvw8r/s.jpg?width=650)
KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO
10 years ago
GPLKIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA
11 years ago
Habarileo30 Dec
Kifo cha mjamzito chazua tafrani Sumbawanga
KIFO cha mjamzito aliyekuwa akijifungua katika kituo cha afya Mtowisa, wilayani Sumbawanga, kimezua tafrani baada ya wananchi kushambulia gari la kubeba wagonjwa wakitaka kulichoma kwa madai kwamba limechangia.
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki
9 years ago
StarTV29 Sep
Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.
Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.
Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
Trafiki Mwanza atumbukiza Bajaji ya dereva wa Bodaboda mtaroni ….Je unaridhika na utendaji kazi wa Trafiki wapya Mkoani kwako?
![](http://2.bp.blogspot.com/-dUXEP5ngMBY/VmvKAQeYLuI/AAAAAAABUYI/cJroCRIVUG4/s640/TRAFIKI%2BAJALI%2B%25285%2529.jpg)