Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki
Dar es Salaam. Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam jana walikumbwa na taharuki baada ya kituo cha daladala cha Mwenge kuhamishiwa eneo la Makumbusho .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM05 Jun
KALAPINA NUSURA APORWE ‘DILI’ LA KUSIMAMIA ULINZI KITUO KIPYA CHA MAKUMBUSHO
STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga,Kalapina ambaye hivi karibuni kupitia kampuni yake ya Kikosi Security alipata dili la kusimamia ulinzi na kusafisha kituo kipya cha mabasi cha Makumbusho.
Ukifika katika kituo hicho ukikutana na jamaa ambao ni vipande aliojazia (Mabaunsa)huku vikiwa na uniform ujue hao vijana wa Kalapina, sasa muda mfupi baada ya kupata dili hilo Kalapina amedai kuwa kuna mtu alimfanyia fitna ili atoswe kwenye mchongo huo.
11 years ago
CloudsFM03 Jun
KALAPINA APATA TENDA YA KUSIMAMIA ULINZI NA USAFI KATIKA KITUO KIPYA CHA MABASI MAKUMBUSHO
STAA wa Hip Hop Bongo,ambaye pia ni kiongozi wa kundi la Kikosi Cha Mizinga, Mtu Mzima Kalapina anatumia vizuri uaminifu alioupata kutoka kwa wananchi kutokana na muziki.
Siku ya jana Kalapina ameanza kutumikia tenda ya ulinzi na usafi katika kituo kipya cha Makumbusho, Jijini Dar es salaam, kituo ambacho kimechukua nafasi ya kituo cha mabasi cha Mwenge.
10 years ago
Michuzi25 Jan
11 years ago
CloudsFM29 May
KITUO CHA MABASI MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) wamegiza kuwa kuanzia Juni 2, 2014, kituo cha Mwenge kitafungwa na daladala zote zinazotumia kituo hicho zitahamia kituo cha Makumbusho.
Daladala zote zinazoishia Mwenge zitakuwa zinashusha abiria kituo cha Makumbusho. Na daladala zinazokwenda maeneo mbalimbali kupitia Mwenge hazitoruhusiwa kusimama kituoni hapo na kushusha au kupandisha abiria. Zote zitapaswa kufika kituo cha Makumbusho.
11 years ago
GPL03 Jun
WANANCHI WATATIZWA NA KITUO CHA MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO
10 years ago
Michuzi13 Dec
MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SINZA
Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...
10 years ago
Vijimambo13 Dec
MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000
Akizindua huduma hiyo, jana, Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yussuf Mwenda alisema, mtandao wa WiFi umeunganishwa kwenye kituo hicho kupitia mkongo wa mawasiliano kupitia Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).
Mwenda alisema, mtandao huo utakuwepo usiku na...
11 years ago
GPL11 years ago
MichuziMgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO