Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku
Na Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Feb
JK afichua kipigo cha Lipumba
Na Fredy Azzah
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Lipumba awanusuru vijana wake na kipigo cha polisi
Na Elizabeth Mjatta na Asifiwe George
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amezuia maandamano ya Jumuia ya Vijana wa chama hicho Taifa (JUVICUF) kwa kile alichokieleza kuwa ni hofu yake ya kupigwa , kuumizwa na hata kuuawa na Jeshi la Polisi waliokuwa wamejipanga kuzima maandamano yao.
JUVICUF walipanga kuandamana kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuishinikiza kuongeza muda wa uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Maandamano hayo pia yangefika hadi...
10 years ago
GPLKIVAZI CHA SHILOLE CHAZUA UTATA
10 years ago
GPL
KIMINI CHA TRAFIKI CHAZUA BALAA
10 years ago
GPL
KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO
11 years ago
Habarileo30 Dec
Kifo cha mjamzito chazua tafrani Sumbawanga
KIFO cha mjamzito aliyekuwa akijifungua katika kituo cha afya Mtowisa, wilayani Sumbawanga, kimezua tafrani baada ya wananchi kushambulia gari la kubeba wagonjwa wakitaka kulichoma kwa madai kwamba limechangia.
11 years ago
GPL
KIVAZI CHA SAJENT CHAZUA BALAA UKUMBINI!
11 years ago
Mwananchi03 Jun
Kituo kipya cha makumbusho chazua Taharuki
10 years ago
StarTV29 Sep
Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.
Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.
Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...