Lipumba awanusuru vijana wake na kipigo cha polisi
Na Elizabeth Mjatta na Asifiwe George
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amezuia maandamano ya Jumuia ya Vijana wa chama hicho Taifa (JUVICUF) kwa kile alichokieleza kuwa ni hofu yake ya kupigwa , kuumizwa na hata kuuawa na Jeshi la Polisi waliokuwa wamejipanga kuzima maandamano yao.
JUVICUF walipanga kuandamana kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuishinikiza kuongeza muda wa uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Maandamano hayo pia yangefika hadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Feb
JK afichua kipigo cha Lipumba
Na Fredy Azzah
SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Kipigo cha Lipumba chazua mtafaruku
Na Waandishi Wetu, Dar na Dodoma
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba akipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, Bunge lilivunja kikao chake baada ya kuibuka mjadala mkali kutoka kwa wabunge wa kambi ya upinzani.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, alilazimika kuahirisha Bunge baada ya wabunge hao wa upinzani kutaka shughuli za Bunge ziahirishwe ili wajadili kitendo cha Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam kumpiga Profesa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OBVF16y-PPJ8lsovfhl7eyxfbSGQ8jvBngIjFJnV4Fxm9MVZRU6b9ganol6Wyjyshr4cM*H*cRj4BbIhK-XQsq42Box7A*fU/breakingnews.gif)
PROF. LIPUMBA NA BAADHI YA WANACHAMA WAKE WAKAMATWA NA POLISI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWxGcTy-9hUVyF38Ip4r5yQ54hk9vqx4hwI7cv1o42e0xA5FacLLe0eanZULbhRDHdE-yQdKgJ5LrkVsCIliF0NR/kifo.jpg?width=650)
KIFO TATA! ALIYEDAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI, UKWELI WAJULIKANA
11 years ago
Michuzi03 Aug
BAADA YA KIPIGO CHA SERENGETI BOYS, MALINZI AKIRI UBOVU WA MAANDALIZI NA KUKOSEKANA KWA MFUMO SAHIHI WA SOKA LA VIJANA
![](https://4.bp.blogspot.com/-ID3VTryj8Jg/UmfM952qJhI/AAAAAAAAGy4/Q-FFd97-la4/s640/Jamal+Malinzi%28TFF-PRES+CANDIDATE%29.jpg)
11 years ago
Mwananchi07 May
Ndugai anusurika kipigo vurugu za vijana Kongwa
10 years ago
MichuziMasauni Akibidhiwa Cheti cha Mchangio wake kwa Vijana Dhidi ya Amani kutoka UNESCO NA YUNA
BOFYA...
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Mhe Masauni akibidhiwa cheti cha mchangio wake kwa vijana dhidi ya amani kutoka UNESCO na YUNA
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Unataka kipigo! Chezesha polisi