Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIFO TATA! ALIYEDAIWA KUUAWA KWA KIPIGO CHA POLISI, UKWELI WAJULIKANA

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
KIFO cha mfanyabiashara aliyeshikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, Liberatus Damiani Temu (55) kilichodaiwa kilitokana na kipigo kutoka kwa askari wa kituo hicho sasa ukweli umejulikana. Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Liberatus Damiani Temu (55) anayedaiwa kufariki kiutata.
Chanzo makini kililiambia gazeti hili kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uchunguzi kifo cha aliyedaiwa kupigwa na polisi wakwama

Uchunguzi wa mwili wa marehemu Liberatus Matemu(55), aliyefia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) akidaiwa kupigwa na askari polisi wa Kituo cha Stakishari umeshindwa kufanyika jana baada ya kutokea utata wa nani anatakiwa kulipa gharama za matibabu Sh260,000.

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto mgonjwa anusurika kifo kwa kipigo cha mfanyakazi

MTOTO wa miaka miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa akimlisha huko Uganda.

 

10 years ago

Vijimambo

LULU AFUTA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM KUFUATIA KIFO CHA MTU ALIYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE

 Muigizaji wa filamu, Elizabeth ‘Lulu’ Michael mwenye wafuasi wengi kwenye Instagram, ameamua kujiondoa baada ya kushambuliwa kwa matusi na baadhi ya watu kufuatia kifo cha mtu aliyewahi kuwa mpenzi wake.
Kufuatia kifo cha kutatanisha cha Lusekelo Samson Mwandenga ‘Secky’, watu wengi walianza kumtukana Lulu wakimhusisha pia na kifo hicho huku pia wakipost picha zinazomuonesha alipokuwa na marehemu.Hata hivyo mujibu wa Global Publishers, familia ya Secky imeweka wazi chanzo halisi cha kifo...

 

10 years ago

GPL

MASWALI 10 TATA KIFO CHA MTIKILA!

Na Waandishi Wetu
BASI tena! Kifo cha ajali ya gari cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation, Mchungaji Christopher Mtikila kimewaacha wananchi na majonzi makubwa lakini nyuma yake, Uwazi limebaini maswali 10 tata kuhusu ajali hiyo.  Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (DP) na Kiongozi wa Kanisa la Full Salvation, Mchungaji Christopher Mtikila enzi za uhai wake....

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WANUSURIKA KUUAWA KWA KIPIGO JIJINI MWANZA LEO

Vijana hao baada ya kula kichapo kutoka kwa wananchi. Wananchi wa eneo la Deluxe baada ya kuwapa kichapo cha kutosha vibaka hao.…

 

11 years ago

GPL

UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HATIMAYE familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo. Marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya enzi za uhai wake. Akizungumza na Uwazi, mwishoni mwa wiki iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baba mdogo wa marehemu aliyejitambulisha kwa...

 

11 years ago

GPL

KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI

Stori: Waandishi Wetu
MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA JARIBIO LA KUUAWA, DR. SLAA ATINGA KITUO CHA POLISI

Akihojiwa na Wanahabari.     ..Slaa (kulia), akitoka katika lango kuu la kituo cha Polisi akiwa na viongozi wengine wa chama hicho.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani