Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HATIMAYE familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo. Marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya enzi za uhai wake. Akizungumza na Uwazi, mwishoni mwa wiki iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baba mdogo wa marehemu aliyejitambulisha kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZA MWIZI 40! DENTI CHUO KIKUU ANASWA

Dustan Shekidele, Morogoro Mwizi maarufu alifahamika kwa jina la babuu pichani akiwa amewekwa chini ya ulinzi na raia wenye hasira kali. Babuu pichani akitoa maelezo baada ya kupewa kichapo na raia kwa madai ya kuiba laptop aina ya Apple.
Kazi nzuri! Ile Oparesheni Fichua Maovu (OFM), mradi wa Global Publishers, imewatikisa wanawake…

 

10 years ago

GPL

CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA USHIRIKA NA BIASHARA MOSHI (MUCCOBS) CHAWA CHUO KIKUU KAMILI

Baadhi ya wahadhiri wa MoCU (MOSHI CO-OPETATIVE UNIVERSITY) wakiwa kwenye picha ya pamoja.. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Mhe. Philemon Luhanjo (wa nne kulia waliokaa ) akiwa katika picha ya wajumbe wa bodi na wahadhiri wa chuo hicho. CHUO Kikuu Kishiriki cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCOBS), kimekuwa chuo kikuu rasmi ambapo kwa sasa kitaitwa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MoCU). Taarifa hiyo...

 

9 years ago

Global Publishers

Denti Chuo Kikuu auawa kwa risasi!

marehemuMarehemu Mafwiri Mfungo, enzi za uhai wake.

Stori: Gabriel Ng’osha, Dar na Gregory Nyankaira, Mara

VILIO na majonzi vilitawala nyumbani kwa mzee Mfungo Mtaengelwa wakati wa mazishi ya kijana wake, Mafwiri Mfungo, 28, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), aliyeuawa kwa kupigwa risasi tatu kifuani na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi. Tukio hilo linalowaliza wanachuo wenzake mpaka sasa, lilijiri Desemba 15, mwaka huu, Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.

jeneza lamafwiriJeneza lenye...

 

10 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.

Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Philip Alfred aliyekuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya tano ya wanafunzi wa chuo kikuu cha St, John's cha mjini Dodoma akihuwahutubia wahitimu wa kozi mbalimbali wa chuo hicho. Mkuu wa Skuli za kidini akihutubia jambo kwenye mahafali hayo.Wahitimu wa Shahada ya sayansi...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi aliyeua mwanafunzi chuo kikuu ahukumiwa kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi aliyeua mwanafunzi wa Chuo Kikuu jijini Mbeya ahukumiwa kifo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa polisi wa upelelezi, Maduhu, F 5842, aliyekuwa akikabiliwa na shitaka la mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), Daniel Mwakyusa. Aidha, mahakama hiyo imewaachia huru washitakiwa wengine wawili wa kesi hiyo, polisi wa upelelezi, Shaaban, F 7769, na polisi wa kike mpelelezi, Neema, F 6545, baada ya kuwakuta hawana hatia. 
Hukumu hiyo ya kesi namba 16 ya mwaka 2013, ilitolewa jana mjini hapa na Jaji Rose Temba,...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKAGUA CHUO KIKUU DAR NA CHUO KIKUU HURIA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema uamuzi wa Serikali wa kukopa fedha ili kuboresha miundombinu kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ulichukuliwa kwa lengo la kujibu tatizo la sasa la wingi wa vijana wanaohitimu kidato cha sita.
Ametoa kauli hiyo jana usiku (Ijumaa, Oktoba 10, 2014) wakati akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya ya Chuo Kikuu Huria (OUT) mara baada ya kuzindua jengo la ghorofa 10 linalojulikana kama Ghorofa la Elimu ya Masafa ya Huria (Open Distance...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIZI AKAMATWA CHUO KIKUU MZUMBE ANUSURIKA KIFO NA WANAFUNZI WENYE HASIRA KAL


chumba kilichopo sammit hostel ya mkwawa ambacho mwizi huyo alipokuwa amefungiwa kwa nje mara baada ya kuingia ndani kwa kutumia funguo malaya ikisadikiwa kuwa anataka kuiba laptop.Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa wanafunzi wa chuo kikuu mzumbe jioni hii wanusurika kumuua mwanafunzi mwenzao ambae anasoma mwaka wa pili chuoni hapo kwa kufanya jaribio la kuiba katika chumba namba 403 kilichopo gorofani sammit katika hosteli ya Mkwawa kwa kufungua mlango kwa funguo malaya ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani