KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI
![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb3-n4iZYB5fU5S0LXgaktnWrbTRVVMuvb*eVl7JQsG0bR60wD6tdajmA9NUqvCeelm0wr0QGok6dSISYoNu38Ay/lulu.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZFHUoLmNeq3N7Kyoehy96b7Dd1-r5I9uVOPLSQzUMLrcgl*LTkOL-6GQR6oeBtuy94APxz4TplY1c945*HbcgH/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64qPf3IybNE29F9JsAQDwoaR3K78eMG7VQo-tQ8i5gc6pG*ShNYhLdT-MBMgJIFiKnWA*bploNjKjDBY8rSGbEih/kanumba.jpg)
KESI KIFO CHA KANUMBA, SURA MPYA!
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Lulu amkumbuka Kanumba ikiwa ni miaka miwili tangu kifo chake kilipotokea. Hichi ndicho alichosema
Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth Michael "Lulu" ambaye anakabiriwa na kesi ya mauaji ya Kanumba bila kukusudia ameandika kwa uchungu kuonyesha kuwa mpaka leo bado haamini kuwa Kanumba alikwishafariki.
Kupitia mtandao mmoja maaruffu wa kijamii, Lulu ameandika
bado Siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona wala...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QWN5yhdbadgzhRES*vGoqqyjs*MgmuvQH2MEi9lxhWdBldIdBWJykln4GcnJpoPbStO2r5fdNp1UMAqZ3Yis-KmX*VJrmW4/denti.jpg)
UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014
MIAKA wiwili ya kifo cha nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, ilivyokuwa sivyo ilivyotarajiwa na wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04auER0aJ4RfICTByQDwumEIk51H44KFmmaQX4dVA1F-iaOm1liGBVWmhsQD-3UkFnJJDo7CAhFZ3RKiMTb4VwCu0/SETH.jpg?width=650)
SETH APOTEZA DIRA KIFO CHA KANUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmZDN*lXy2aHgyYWnmFuoTQiF9ENiotUmWXyoH*oH0DJF8XmNPENOMHQc1MkGCvsIq3le3MPYb7hUwwtABAF1sHU/rip_kanumba.jpg?width=650)
MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii Wamepoteza Ajira
ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.
Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.
Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.
Lakini mwaka huu...