KESI KIFO CHA KANUMBA, SURA MPYA!
![](http://api.ning.com:80/files/Z*WFeROO64qPf3IybNE29F9JsAQDwoaR3K78eMG7VQo-tQ8i5gc6pG*ShNYhLdT-MBMgJIFiKnWA*bploNjKjDBY8rSGbEih/kanumba.jpg)
Stori: Shakoor Jongo Jipya! Baada ya kimya cha muda mrefu, imefichuka kwamba kesi ya kuuawa kwa aliyekuwa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great’ imechukua sura mpya baada ya kuanza kusikilizwa kimyakimya, Ijumaa Wikienda limenasa kinachoendelea. Staa wa sinema za Kibongo, Lulu Elizabeth Michael, 'Lulu". WATU WANATAKA KUJUA KINACHOENDELEA Uchunguzi wa gazeti hili… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dZFHUoLmNeq3N7Kyoehy96b7Dd1-r5I9uVOPLSQzUMLrcgl*LTkOL-6GQR6oeBtuy94APxz4TplY1c945*HbcgH/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA, LULU AKESHA AKIOMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8XZ9tNduvb3-n4iZYB5fU5S0LXgaktnWrbTRVVMuvb*eVl7JQsG0bR60wD6tdajmA9NUqvCeelm0wr0QGok6dSISYoNu38Ay/lulu.jpg?width=650)
KESI YA KIFO CHA KANUMBA... LULU AANIKA UKWELI
11 years ago
Mwananchi02 May
Kesi ya wakili maarufu yachukua sura mpya
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Nilichokiona kumbukumbu ya kifo cha Kanumba 2014
MIAKA wiwili ya kifo cha nyota wa filamu nchini, Steven Kanumba, ilivyokuwa sivyo ilivyotarajiwa na wengi. Aprili 7, 2012 ndiyo siku msanii huyo alifariki dunia kutokana na kifo cha ghafla...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04auER0aJ4RfICTByQDwumEIk51H44KFmmaQX4dVA1F-iaOm1liGBVWmhsQD-3UkFnJJDo7CAhFZ3RKiMTb4VwCu0/SETH.jpg?width=650)
SETH APOTEZA DIRA KIFO CHA KANUMBA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmZDN*lXy2aHgyYWnmFuoTQiF9ENiotUmWXyoH*oH0DJF8XmNPENOMHQc1MkGCvsIq3le3MPYb7hUwwtABAF1sHU/rip_kanumba.jpg?width=650)
MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA
10 years ago
Bongo Movies17 Apr
MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii Wamepoteza Ajira
ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.
Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.
Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.
Lakini mwaka huu...
10 years ago
Bongo Movies07 Apr
Miaka mitatu baada ya kifo cha Kanumba: Bongo movies ‘Will never be the same again’
Wakati mwingine kuna maswali magumu sana kuweza kuyajibu. Kwa mfano kwanini watu muhimu na wazuri hufa mapema? Kwanini watu wenye umuhimu mkubwa katika jamii huondoka ghafla tena katika wakati ambapo wapo kwenye kilele cha mafanikio yao?
Chukulia mfano Aaliyah, Tupac, Notorious BIG au Stephen Kanumba! Hili ni swali gumu sana kulijibu na hivyo mambo mengine ni ya kumwachia Mungu.
Leo ni April 7, miaka mitatu tangu kifo cha muigizaji mahiri, aliyependwa, aliyekuwa na kipaji cha hali ya juu,...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun