BAADA YA KIPIGO CHA SERENGETI BOYS, MALINZI AKIRI UBOVU WA MAANDALIZI NA KUKOSEKANA KWA MFUMO SAHIHI WA SOKA LA VIJANA
BAADA ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys kutolewa katika michezo ya kuwania kufuzu fainali za Afrika za vijana na Afrika kusini kwa wastani wa mabao 4-0, Rais wa shirikisho la soka Tanzania, TFF, Jamal Emil Malinzi amekiri kuwa bado timu haijaandaliwa vizuri.Rais Malinzi amesema tatizo la timu ni maandalizi yasiyoridhisha yanayochangiwa na kukosa mfumo sahihi na mpango mzuri wa soka la vijana.“Tatizo letu ni lile lile, kwenye maandalizi, lakini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Kocha Malawi akiri woga chanzo cha kipigo
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
Mourinho awalaumu 'ball boys' kwa kipigo
9 years ago
StarTV11 Nov
Kukosekana kwa mfumo mzuri kwawanyima haki Watoto.
Kukosekana kwa mfumo mzuri wa ushirikishwaji wa watoto nchini katika masuala ya maendeleo ya halmashauri za miji, majiji na kutotengewa bajeti kumechangia watoto hao kutopata haki zao za msingi.
Kutokana na hali hiyo, viongozi wanaopewa dhamana ya kuongoza, wadau na jamii kwa ujumla wanapaswa kuhakikisha watoto wanapata haki za msingi kwa mujibu wa sheria.
Mwenyekiti mtendaji wa shirika la mtandao wa watoto na vijana mkoani Mwanza Shaban Ramadhan ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na...
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SIMBA YAMFUKUZISHA MAXIMO JANGWANI MARA BAADA YA KUWAPA KIPIGO CHA MAGOLI 2 KWA 0 YANGA
11 years ago
CloudsFM09 Jul
KOCHA WA BRAZIL,LUIZ FELIPE SCOLARI AFUNGUKA BAADA YA KIPIGO CHA MABAO 7 KWA 1 DHDI YA UJERUMANI
"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi,alisema kocha huyo.
Lilikuwa chaguo langu. Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
10 years ago
Mtanzania14 Feb
Lipumba awanusuru vijana wake na kipigo cha polisi
Na Elizabeth Mjatta na Asifiwe George
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba amezuia maandamano ya Jumuia ya Vijana wa chama hicho Taifa (JUVICUF) kwa kile alichokieleza kuwa ni hofu yake ya kupigwa , kuumizwa na hata kuuawa na Jeshi la Polisi waliokuwa wamejipanga kuzima maandamano yao.
JUVICUF walipanga kuandamana kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuishinikiza kuongeza muda wa uandikishaji katika daftari la wapiga kura.
Maandamano hayo pia yangefika hadi...
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
Baada ya kipigo cha Leicester, Mourinho ahisi kusalitiwa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho (pichani) amesema anahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji wake baada ya kupata kipigo cha goli 2 kwa 1 kutoka kwa Leicester City.
Mourinho alisema ilikuwa ni sahihi kwa Leicester kuwafunga kutokana na kuwatawala kwa kipindi kikubwa cha mchezo huo huku timu yake ikionekana kucheza vizuri kwa dakika za 25 za mwanzoni na kuwafanya kuwa katika wakati mgumu kupata matokeo mazuri.
Aliongeza kuwa aamahisi kusalitiwa na baadhi ya wachezaji...
10 years ago
Vijimambo02 Mar
AZAM FC YAMTIMUA KOCHA BAADA YA KIPIGO CHA UGENINI
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/OMOG.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao wa facebook wa Azam FC muda mfupi uliopita, Uongozi wa Azam FC umetangaza kumtimua raia huyo wa Cameroon.
Taarifa hiyo inasomeka: “Uongozi wa Azam FC unatangaza kuachana na kocha wake mkuu Joseph Omog baada ya kuwa naye kwa miezi 14.
Omog aliyeipa Azam FC ubingwa wa kwanza msimu...