Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masauni Akibidhiwa Cheti cha Mchangio wake kwa Vijana Dhidi ya Amani kutoka UNESCO NA YUNA

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mlezi wa Jumuiya ya Tanzania Yuoth Icon (TAYI) Mhe.Eng Hamadi Yussuf Masauni akikabidhiwa Cheti cha Mchango wake kwa Vijana kuhusiana na Amani kutoka kwa Mratibu wa UNESCO kwa Vijana Tanzania Ndg Simba Mwinyi Simba kwa kutambua mchango wake kwa Vijana Zanzibar kudumisha amani, hafla hiyo mefanyika katika Kituo cha Vijana cha TAYI muembemadema Zanzibar    Mhe.Eng Hamad Masauni akionesha Cheti baada ya kukabidhiwa wakati wa Kongamano la Vijana wa TAYI . 

BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mhe Masauni akibidhiwa cheti cha mchangio wake kwa vijana dhidi ya amani kutoka UNESCO na YUNA

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Mlezi wa Jumuiya ya Tanzania Yuoth Icon (TAYI) Mhe.Eng Hamadi Yussuf Masauni akikabidhiwa Cheti cha Mchango wake kwa Vijana kuhusiana na Amani kutoka kwa Mratibu wa UNESCO kwa Vijana Tanzania Ndg Simba Mwinyi Simba kwa kutambua mchango wake kwa Vijana Zanzibar kudumisha amani, hafla hiyo mefanyika katika Kituo cha Vijana cha TAYI muembemadema Zanzibar     Mhe.Eng Hamad Masauni akionesha Cheti baada ya kukabidhiwa wakati wa Kongamano la Vijana wa TAYI baada...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA CHETI CHA UHALISI WA MADINI YA BATI...AELEZEA UMUHIMU WAKE KWA TAIFA

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa amezindua cheti cha Uhalisi wa madini ya Bati ambapo amesema uzinduzi huo ni muhimu kwa Taifa letu pamoja na nchi za maziwa makuu.

Amezidua cheti hicho cha uhalisi wakati wa mkutano wa wawekezaji katika sekta ya madini hapa nchini mkutano uliofanyika leo Februari 23,mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar ea Salaam.

Nchi mbalimbali zimepata Cheti cha halisi wa madini ya Bati ambazo ni Uganda, Burundi,...

 

11 years ago

Michuzi

Mama Tunu Pinda atunukiwa Cheti cha Ubalozi wa Amani Duniani

Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi wenzake 10 waliotunukiwa vyeti...

 

9 years ago

Michuzi

CHAMA CHA AFYA YA JAMII (TPHA) CHATOA ELIMU DHIDI YA KUPAMBANA NA TUMBAKU KWA VIJANA WADOGO DAR

Mratibu wa Mradi wa Madhara ya Tumbaku (TPHA) Dk. Bertha T.A. Maegga akizungumza wakati akifungua kongamano hilo lililo washirikisha wadau mbalimbali kwa kutoa muhutasari wa Madhara ya Tumbaku. (Picha na Geofrey Adroph).
Na Andrew Chale, modewjiblog [Dar es Salaam] 
CHAMA cha Afya ya Jamii nchini (TPHA), kimeendesha kongamano maalum kwa wanafunzi wa shule msingi zaidi ya Saba ndani ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kutoa elimu ya madhara yatokanayo na utumiaji wa bidhaa za Tumbaku pamoja...

 

9 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS


Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaamMeneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade...

 

9 years ago

Vijimambo

MHE. ENG.HAMAD MASAUNI AFUNGUA MAFUNZO YA VIJANA WA TUEPO KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUJIAJIRI WENYEWE

Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.Katibu wa Jumuiya ya TUEPO Muzna Ibarahim akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mhe Hamad Masauni kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yanayowajumuisha Vijana wasio na Ajira kuwajengea Uwezo wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mhe.Eng.Hamad Masauni afungua mafunzo ya vijana wa TUEPO kuwajengea uwezo vijana kujiajiri wenyewe

Mmoja wa Kijana Wasio na Ajira Tanzania akisoma Quran wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Siku mbili ya kuwajengea Uwezo Vijana wa Jumuiya ya Watanzania Wasuio na Ajira Tanzania (TUEPO) yanayofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar. Katibu wa Jumuiya ya TUEPO Muzna Ibarahim akitowa maelezo ya mafunzo hayo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Mhe Hamad Masauni kuyafungua mafunzo hayo ya siku mbili yanayowajumuisha Vijana wasio na Ajira kuwajengea Uwezo wa...

 

9 years ago

Vijimambo

ATUPWA JELA KWA KUTOSAINI CHETI CHA NDOA CHA JINSIA MOJA

Image copyrightGettyImage captionKim Davies aliyekataa kusaini cheti cha ndoa Kentucky
Jaji mmoja nchini Marekani, ameagiza afisa mmoja wa serikali katika jimbo la Kentucky, kufungwa jela, baada ya kukataa kutekeleza agizo la mahakama la kutoa cheti rasmi cha ndoa, kwa wapenzi wawili wa jinsia moja.

Kim Davies amesema imani yake kama Mkristo, haimruhusu kusaini cheti kama hicho. Ndoa ya jinsia moja ilihalalishwa nchini Marekani Juni mwaka huu.

Umauzi huo wa Davis, wa kutosaini cheti hicho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani