Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti: Huu ndio umri ambao binadamu anakuwa na furaha zaidi

Utafiti mpya umebaini kuwa kilele cha furaha kwa binadamu kipo pale anapokuwa na miaka 20 na! Hata hivyo watafiti hao pamoja na kudai kuwa kipindi kigumu zaidi ni wakati mtu ana miaka 10, kuna matumaini bado. Utafiti wao umebaini kuwa maisha hurejea tena kuwa ya furaha kwenye umri wa miaka 65! Swali ni wangapi watafika […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Huu ndio mpango wa ex wa Zari na mpambe wake wa kutaka kuharibu furaha ya ujio wa Tiffah

Ulimwengu una maajabu mengi na mitandao ya kijamii inatusaidia kuyafahamu. Uhusiano wa Diamond na Zari the Bosslady haujawahi kupokelewa vizuri na ex wake Ivan aliyezaa naye watoto watatu wa kiume. Ivan (kulia) akiwa na mpambe wake King Lawrenc (kushoto) na Jose Chameleone Watoto hao wameendelea kuwa karibu na wazazi wote wawili. Uhusiano wa ulipoanza tu, […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Ni Umri gani unakufanya kuwa na furaha?

Baadhi wanaamini furaha hupatikana ughaibuni hasa magharibi,lakini watafiti wanasema furaha huponyoka katika umri wa makamo

 

9 years ago

Bongo5

Mitandao kijamii ni sababu ya watu kukosa furaha — Utafiti

Mid adult woman sitting on the bed and suffering from a headache

Facebook au Instagram inaweza kutufanya tuwe wapweke au wenye hasira kwasababu hujikuta tukijifananisha na watu wengine wanaonekana kuwa na maisha bora, utafiti mpya umebaini.

Mid adult woman sitting on the bed and suffering from a headache

Mitandao hiyo inadaiwa kuwapa watumiaji mtazamo usio sahihi kuwa watu wengine wana furaha zaidi kuliko wao, watafiti wamesema.

Utafiti huo ulifanywa na taasisi ya utafiti wa furaha ya Denmark na kuhusisha watu 1,095. Walifanya utafiti huo kwa kuwaambia nusu yao kutotumia Facebook kwa wiki na nusu nyingine kuendelea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je utajiri wa nchi ndio furaha ya wananchi?

Mafuta na gesi yameiletea Qatar utajiri mkubwa, pesa sio hoja.Je ina maana wengi wanafuraha isiyo na kifani?

 

10 years ago

Bongo Movies

Hawa Ndio Mastaa 10 Wakiume wa Bongo Movies Ambao Shamsa Anawakubali

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambae ni Binamu Wa Nay Wa Mitego amewataja hawa kua ndio wakali wake.

“Mambo vipi Tanzania? Leo ningependa kuwatajia wanaume 10 ambao huwa napenda sana uigizaji wao, haimanishi kwamba wao ndo the best kuliko wengine but napenda tu sanaa yao. (1) Single Mtambalike ‘Richie’ (2) Marehemu Adamu Kuambiana (3) Marehemu Kanumba (4) Muhogo Mchungu (5) Swebe (6)Tino (7) Gabo (8) Vincet Kigosi ‘Ray’ (9) Bishanga Bashaiga (10) Cloud112....nawakubali sanaaaaa...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU

  Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu. Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa. Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

Jumuika katika mchezo huu ambao ni mfano halisi wa upendo wa kweli

KASINO ya Meridian inakuletea Sloti halisi ambayo ni bomba kuliko –hii ni Immortal Romance! Muonekano wa kuvutia, hadithi ya kimapenzi, rekodi ya sauti nzuri za asili na ndiyo, sloti hii ya mfano halisi wa mapenzi ya kweli ni sloti ya kusisimua kabisa ya mtandaoni!
Kwa ushirikiano na Microgaming Kasino ya Mtandaoni ya Meridian imekuletea hii bora zaidi, Immortal Romance. Mchezo huu kimsingi upo katika mazingira ya hadithi za kisayansi, mapenzi ya bashasha na imani za haiba tofauti za...

 

10 years ago

Mtanzania

Utafiti: Paracetamol hufupisha maisha ya binadamu

paracetamol_0MWANDISHI WETU NA MASHIRIKA YA HABARI
MATUMIZI ya kila siku ya dawa za kupunguza maumivu za paracetamol huongeza hatari ya ugonjwa wa moyo, kiharusi na kufupisha maisha ya binadamu, utafiti mpya umeonya.
Paracetamol hupendelewa zaidi na madaktari wengi hudai zi salama kulinganisha na aspirin, ambayo imehusishwa na kuvuja damu tumboni na ibuprofen iliyohusishwa na magonjwa ya moyo na kiharusi.
Lakini watafiti wa Uingereza waliofanya uchunguzi huo uliowahusisha wagonjwa 666,000 wanasema hatari...

 

9 years ago

Dewji Blog

Drogba akanusha madai ya kujiunga na Chelsea wakati huu ambao ligi ya Marekani MLS imemalizika!

drog_1547796a Drobga

Na Rabi Hume wa Modewjiblog na Mashirika ya Habari.

Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba (37) anayekipiga kwa sasa katika kblabu ya Montreal Impact inayoshriki ligi kuu ya Marekani MLS amekanusha uvumi uliokuwa umeanza kusambaa kuwa mchezaji huyo atajiunga na klabu yake ya Chelsea kwa mkataba wa muda mfupi wakati huu ambao ligi kuu ya Marekani imesimama.

Akizungumza na Kituo cha Habari cha Ufaransa (AFP), Drogba amesema taarifa hizo siyo sahihi kuwa atajiunga kwa muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani