Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitandao kijamii ni sababu ya watu kukosa furaha — Utafiti

Mid adult woman sitting on the bed and suffering from a headache

Facebook au Instagram inaweza kutufanya tuwe wapweke au wenye hasira kwasababu hujikuta tukijifananisha na watu wengine wanaonekana kuwa na maisha bora, utafiti mpya umebaini.

Mid adult woman sitting on the bed and suffering from a headache

Mitandao hiyo inadaiwa kuwapa watumiaji mtazamo usio sahihi kuwa watu wengine wana furaha zaidi kuliko wao, watafiti wamesema.

Utafiti huo ulifanywa na taasisi ya utafiti wa furaha ya Denmark na kuhusisha watu 1,095. Walifanya utafiti huo kwa kuwaambia nusu yao kutotumia Facebook kwa wiki na nusu nyingine kuendelea...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MICHELLE OBAMA AONEKANA KUKOSA USO WA FURAHA SAUDIA

Michelle Obama (wa pili kushoto) anaonekana hana raha wakati akiwa Saudi Arabia na mumewe, Rais Obama, wakati walipokwenda kuomboleza msiba wa Mfalme Abdullah. Michelle akiwa na sura iliyokosa uchangamfu na tabasamu.…

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Kukosa amani ya akili huweza kufanya maisha yasiwe ya furaha

   Nilipowaza kuandika makala hii nilikuwa na wasiwasi kama wasomaji wangu wataelewa maana ya amani ya akili ni kitu gani hasa, kwa kuwa wamezoea kulitumia neno amani kuhusu jamii au taifa. Tumezoea kusikia watu wakisema nchi yetu ni ya amani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kampeni zatawala mitandao ya kijamii

Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikipamba moto majukwaani, matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi kwa makundi na watu binafsi kuitumia kuwanadi wagombea wao.

 

10 years ago

Habarileo

Mitandao ya kijamii wapewa somo

Innocent MungyWATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Mitandao ya kijamii sasa kudhibitiwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inajipanga kuja na mfumo wa kompyuta utakaoratibu taarifa zote zinazopakiwa mtandaoni ili kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji vinavyofanywa na watu wasio na maadili ya uandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Mpinga ajivunia mitandao ya kijamii

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga amesema mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook na Instagram imesaidia kupunguza ajali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gumzo kwenye mitandao ya kijamii

Kwani mtindo wa nywele au ushungi wa mtu unasema chochote kuhusu tabia au mwenendo wa mtu huyo?

 

11 years ago

Tanzania Daima

OMIS yaanzisha tuzo za mitandao ya kijamii

KAMPUNI ya ‘Opt Media Information Solutions (OMIS),’ kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeanzisha tuzo za mitandao ya kijamii inayofanya vizuri nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Mkuu wa kampuni...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TRCA: Msitumie vibaya mitandao ya kijamii

WATANZANIA wamehimizwa kuacha matumizi mabaya ya mitandao ya jamii ikiwemo kuweka picha za utupu, kusababisha ugomvi, kuwahimiza wengine kwa mambo yasiyo ya kweli, kupotosha jamii na kuvuruga maendeleo. Akizungumza, Meneja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani