Ni Umri gani unakufanya kuwa na furaha?
Baadhi wanaamini furaha hupatikana ughaibuni hasa magharibi,lakini watafiti wanasema furaha huponyoka katika umri wa makamo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Je furaha ina sauti gani?
Je furaha inaweza kuwa na sauti gani ? Ni swali linaloulizwa na Umoja wa Mataifa ukielekea kwenye siku ya furaha duniani.
9 years ago
Bongo502 Oct
Utafiti: Huu ndio umri ambao binadamu anakuwa na furaha zaidi
Utafiti mpya umebaini kuwa kilele cha furaha kwa binadamu kipo pale anapokuwa na miaka 20 na! Hata hivyo watafiti hao pamoja na kudai kuwa kipindi kigumu zaidi ni wakati mtu ana miaka 10, kuna matumaini bado. Utafiti wao umebaini kuwa maisha hurejea tena kuwa ya furaha kwenye umri wa miaka 65! Swali ni wangapi watafika […]
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Je wanaume wenye umri wa miaka 50 na zaidi wanaathiriwa kwa kiwango gani?
Huku watu wengi huwa na dalili ndogo na kupona haraka, watu wengi wanaweza kuugua sana na hata kuwa na uwezekano wa kufa.
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Mambo muhimu ya kukusaidia kuwa na furaha muda wote
Ni vyema ukifahamu kwamba baadhi ya vitu unavyovitegemea vinaweza visikupe furaha unayoitamani, yamkini mumeo au mkeo asikupe furaha, yamkini fedha na mali ulizonazo zisikupe furaha ya kweli. Jaribu kubeba jukumu la kujihakikishia una furaha pasipo kutegemea mazingira ya vitu au watu wanaokuzunguka. Chukua jukumu la la kuzalisha, kuitunza na kuiendeleza ile furaha na amani inayoishi ndani yako.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Nani kawadanganya kuwa tatizo letu ni umri?
EBO! Hivi ninyi kwenu mnadhani ubaguzi ni ule wa rangi tu kule Afrika Kusini waliokuwa wakiupiga vita kina Mandela na wenzake eh? Nasema sasa kweli taifa linakaribia kusambaratika. Sijawahi kuona kwenye...
9 years ago
Bongo526 Aug
Nahreel aeleza furaha yake kutokana na Top 10 ya MTV Base kuwa na nyimbo 4 za Bongo alizotengeneza yeye
Muziki wa Bongo unaendelea kukua siku hadi siku na kutambulika kimataifa, kutokana na kazi za wasanii wetu kuendelea kushika chati mbalimbali kwenye vituo vikubwa vya kimataifa hadi kufika nafasi za juu. MTV Base wana chati ya video 10 za Afrika iitwayo Official African Chart, na miongoni mwa video zilipo katika chati hiyo wiki hii, 4 […]
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Ataka umri wa kustaafu kwa lazima kuwa miaka 60
>Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Beatrice Shelukindo, amependekeza Katiba ijayo itoe haki ya kufanya kazi ili vijana wapate nafasi za kazi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uFCQvH3jdgDh7Wv66VpTrPtZVarN27oWCTObLYff7I-EpIAOnfZLppZTLllwg3T0JLe2*-PiY8z-0PY6N9jR79ICXZnzVtCm/LV.jpg)
MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?
Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye busati letu la mahaba, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka tujadiliane kuhusu mada ambayo siyo ngeni lakini imekuwa ikisababisha mivutano na migongano mingi ya kimawazo mara kwa mara kila inapojadiliwa, hasa na wanaume au wanawake wenyewe. Hivi umeshawahi kujiuliza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania