Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye busati letu la mahaba, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka tujadiliane kuhusu mada ambayo siyo ngeni lakini imekuwa ikisababisha mivutano na migongano mingi ya kimawazo mara kwa mara kila inapojadiliwa, hasa na wanaume au wanawake wenyewe. Hivi umeshawahi kujiuliza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?- 2

U hali gani msomaji wangu? Ni matumaini kwamba uliifurahia siku ya wapendanao (Valentines Day) kwa kufanya yale yanayostahili kufanywa kwenye siku hiyo. Nakukaribisha tena tuendelee na mada yetu tuliyoianza wiki iliyopita kama inavyojieleza hapo juu. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitakushukuru wewe msomaji wangu ambaye ulituma ujumbe mfupi (sms), kuchangia mada hii kama nilivyokuomba. Ushauri au mawazo yako uliyoyatoa ni ya...

 

10 years ago

GPL

MUME MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?

Ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu katika ukurasa wetu huu, tujadiliane na kuzungumza mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita, nilihitimisha mada iliyokuwa inazungumzia mwanamke mzuri anapaswa kuwa na vigezo gani? Kutokana na maombi ya wasomaji wangu, nimeamua kuhamia upande wa pili na kujadili pia sifa za mume au mwanaume bora. Nazungumza na wewe mwanamke au msichana, hivi umewahi...

 

10 years ago

GPL

MWANAUME BORA ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?-2

Uhali gani msomaji wangu, ni matumaini yangu kwamba uko poa na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha kwenye ukurasa huu kujadili na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Wiki iliyopita tulianza kujadili mada inayojieleza hapo juu ya sifa na vigezo anavyotakiwa kuwa navyo mwanaume bora. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitakushukuru wewe msomaji wangu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK ametumia vigezo gani vya madaraja nishani za Muungano?

MWANZONI mwa wiki hii Rais Jakaya Kikwete aliwatunuku nishani viongozi mbalimbali waliotumikia taifa hili kwa nyakati tofauti. Rais Kikwete alitunuku nishani hizo kama sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya miaka...

 

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?-2

Kwa moyo mkunjufu nikukaribishe mpenzi msomaji wa safu hii ya Love and Story, tunapata kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Kwa wale tulioianza mada ya ishu siyo kuoa, ila unamuoa nani kwa vigezo gani wiki iliyopita, hakika wataungana nami kwamba ili uishi usije kujutia ndoa yako, yakupasa kuchagua mke au mume sahihi.
Tunaimalizia mada hii ambapo hakika itakuwa ni funzo kwa pande zote mbili, mwanaume na...

 

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?

VITABU mbalimbali vya dini vinatufundisha umuhimu wa ndoa. Najua wengi tutakuwa tunafahamu juu ya huu mstari ambao upo kwenye Biblia; “Naye mwanamke atamuacha baba na mama yake, ataambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja.” Marafiki zangu, mstari huo una maana kubwa sana. Ndoa ina mapana yake katika maisha ya mwanadamu. Ndoa si kufuliana nguo wala si kufanya tendo la ndoa peke yake. Ndoa inahusisha vitu vingi ambavyo...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MZURI BILA PRESHA!

Kibinadamu tunasema hakuna mwanamke mzuri na mbaya. Wote ni sawa na yule ambaye unamuona kwako ni mzuri, huenda kwa mwenzako akawa mbaya.Hata hivyo, wapo wanawake ambao kiuhalisia ni wazuri na hata wenzao wanakiri kwamba Mungu kawapendelea.
Uzuri ninaouzungumzia hapa ni ule wa sura na umbo. Wapo ambao wamejaaliwa kuwa na figa bomba kiasi kwamba kila mwanaume anatamani ampate. Linapozungumziwa suala la kuoa, wanaume wengi sasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Majuu : takriban kila mwanamke mzuri na sigara mkononi

Macho hayana pazia. Walisema wahenga. Hapa tuliposimama macho yetu kweli hayana kizibo. Tumeganda kama nzi aliyenaswa utandoni. Nzi hana Kiswahili bali kusubiri ang’atwe ng’atwe na yule mdudu mwenye miguu na macho manane.Tumeshikwa bumbuazi tukimtazama bibiye akimwagika.

 

11 years ago

GPL

HASARA 3 ZA KUOA MWANAMKE MZURI, ‘MWENYE NAZO’ ILA LIMBUKENI!

Awali ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata mwanamke ambaye anajua kutafuta pesa tu lakini kwenye ulimwengu wa mapenzi ni limbukeni, atakusumbua sana. Lakini pia ukijichanganya ukaoa mwanamke ambaye ni mtaalam wa mapenzi lakini hajui pesa inavyotafutwa, nalo ni tatizo licha ya kwamba kwa wengine si tatizo kwani wapo ambao hawataki kuoa wanawake wenye vipato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani