Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HASARA 3 ZA KUOA MWANAMKE MZURI, ‘MWENYE NAZO’ ILA LIMBUKENI!

Awali ya yote naomba niseme kwamba, raha ya ndoa ni kumpata mtu ambaye anajua maisha na anajua mapenzi pia. Ukipata mwanamke ambaye anajua kutafuta pesa tu lakini kwenye ulimwengu wa mapenzi ni limbukeni, atakusumbua sana. Lakini pia ukijichanganya ukaoa mwanamke ambaye ni mtaalam wa mapenzi lakini hajui pesa inavyotafutwa, nalo ni tatizo licha ya kwamba kwa wengine si tatizo kwani wapo ambao hawataki kuoa wanawake wenye vipato...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?-2

Kwa moyo mkunjufu nikukaribishe mpenzi msomaji wa safu hii ya Love and Story, tunapata kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Kwa wale tulioianza mada ya ishu siyo kuoa, ila unamuoa nani kwa vigezo gani wiki iliyopita, hakika wataungana nami kwamba ili uishi usije kujutia ndoa yako, yakupasa kuchagua mke au mume sahihi.
Tunaimalizia mada hii ambapo hakika itakuwa ni funzo kwa pande zote mbili, mwanaume na...

 

10 years ago

GPL

ISHU SI KUOA, ILA UNAMUOA NANI KWA VIGEZO GANI?

VITABU mbalimbali vya dini vinatufundisha umuhimu wa ndoa. Najua wengi tutakuwa tunafahamu juu ya huu mstari ambao upo kwenye Biblia; “Naye mwanamke atamuacha baba na mama yake, ataambatana na mumewe na kuwa mwili mmoja.” Marafiki zangu, mstari huo una maana kubwa sana. Ndoa ina mapana yake katika maisha ya mwanadamu. Ndoa si kufuliana nguo wala si kufanya tendo la ndoa peke yake. Ndoa inahusisha vitu vingi ambavyo...

 

10 years ago

Mwananchi

STAKABADHI GHALAINI Ni mfumo mzuri ununuzi mazao ila vyama vya ushirika ni tatizo

Stakabadhi ghalani siyo neno geni masikioni mwa Watanzania hasa, wanaoishi katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Singida, Kilimanjaro na Morogoro.

 

11 years ago

GPL

MLELA KUOA MWANAMKE ALIYEMZIDI UMRI

Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri. Yusuf Mlela. Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa itadumu na maisha yao yatakuwa mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo mkubwa wa kuiendesha...

 

9 years ago

MillardAyo

Ndege zimetelekezwa airport mwaka mzima, mwenye nazo hajulikani ?!! Cheki na hii ya ndege tatu..

Eti ndege zimetelekezwa na mwenyewe hafahamiki ??!! Kichwa cha habari huenda kikakushtua lakini ndio hivyo, na ndege zenyewe zimekaa airport mwaka mzima uwanja wa Kuala Lumpur, Malaysia. Baada ya ndege hizo kutekelezwa uwanjani hapo kwa zaidi ya mwaka mmoja, ilibidi uongozi wa uwanja huo wapeleke matangazo magazetini kutaarifu kwamba kwa mmiliki wa ndege hizo ajitokeze […]

The post Ndege zimetelekezwa airport mwaka mzima, mwenye nazo hajulikani ?!! Cheki na hii ya ndege tatu.. appeared first...

 

10 years ago

Vijimambo

EXCLUSIVE: ALLY REHMTULA ATAFUTA MWANAMKE WA KUOA


Ni exclusive news kutoka kwa Fashion Designer Ally Rehmtullah, ambaye 2014 alimake headline kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuandaa keki kwenye birthday yake iliyoleta utata katika jamii kufuatia shape ya keki hiyo kuwa na umbile la mwanaume na hatimaye Ally kunyonya umbo lenye shape ya uume kwenye ile keki. Mbali na hilo hii ni mpya nyingine kutoka kwa designer huyo ambaye ametoa exclusive nyingine ya kutafuta mkeWakati akifanya exclusive mahojiano na mwandishi wetu alizungumzia...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?- 2

U hali gani msomaji wangu? Ni matumaini kwamba uliifurahia siku ya wapendanao (Valentines Day) kwa kufanya yale yanayostahili kufanywa kwenye siku hiyo. Nakukaribisha tena tuendelee na mada yetu tuliyoianza wiki iliyopita kama inavyojieleza hapo juu. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitakushukuru wewe msomaji wangu ambaye ulituma ujumbe mfupi (sms), kuchangia mada hii kama nilivyokuomba. Ushauri au mawazo yako uliyoyatoa ni ya...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye busati letu la mahaba, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Leo nataka tujadiliane kuhusu mada ambayo siyo ngeni lakini imekuwa ikisababisha mivutano na migongano mingi ya kimawazo mara kwa mara kila inapojadiliwa, hasa na wanaume au wanawake wenyewe. Hivi umeshawahi kujiuliza...

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MZURI BILA PRESHA!

Kibinadamu tunasema hakuna mwanamke mzuri na mbaya. Wote ni sawa na yule ambaye unamuona kwako ni mzuri, huenda kwa mwenzako akawa mbaya.Hata hivyo, wapo wanawake ambao kiuhalisia ni wazuri na hata wenzao wanakiri kwamba Mungu kawapendelea.
Uzuri ninaouzungumzia hapa ni ule wa sura na umbo. Wapo ambao wamejaaliwa kuwa na figa bomba kiasi kwamba kila mwanaume anatamani ampate. Linapozungumziwa suala la kuoa, wanaume wengi sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani