MLELA KUOA MWANAMKE ALIYEMZIDI UMRI
Na Gladness Mallya STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri. Yusuf Mlela. Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa itadumu na maisha yao yatakuwa mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo mkubwa wa kuiendesha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA
10 years ago
VijimamboEXCLUSIVE: ALLY REHMTULA ATAFUTA MWANAMKE WA KUOA
Ni exclusive news kutoka kwa Fashion Designer Ally Rehmtullah, ambaye 2014 alimake headline kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuandaa keki kwenye birthday yake iliyoleta utata katika jamii kufuatia shape ya keki hiyo kuwa na umbile la mwanaume na hatimaye Ally kunyonya umbo lenye shape ya uume kwenye ile keki. Mbali na hilo hii ni mpya nyingine kutoka kwa designer huyo ambaye ametoa exclusive nyingine ya kutafuta mkeWakati akifanya exclusive mahojiano na mwandishi wetu alizungumzia...
10 years ago
VijimamboZari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!
11 years ago
GPLHASARA 3 ZA KUOA MWANAMKE MZURI, ‘MWENYE NAZO’ ILA LIMBUKENI!
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Amanda McCracken: Mwanamke aliyekuwa na wapenzi wengi lakini akasalia bikra hadi umri wa miaka 41
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
11 years ago
GPLTUZO YA MWANAMKE BORA, HESHIMA YA KWELI YA MWANAMKE, PINDA NI MSOMI WA UWAZI
11 years ago
GPLMWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR