Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!

WAKATI mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ akiwa nchini India kwa matibabu ya tatizo la kiafya linalodaiwa kuwa ni kupooza, hapa Bongo dalili za Diamond na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au The Boss Lady kufunga ndoa zinanukia. Chanzo makini kimeliambia Ijumaa Wikienda kwamba, licha ya mama Diamond kupelekwa India Januari 27, mwaka huu na msafara wa watu wawili, nyuma, Zari alitua Bongo tangu Januari 30, mwaka huu lengo kubwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI


Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Maneno ya Zari Hassan kwa picha inayo muonyesha Diamond Platnumz akichungulia anacho kifanya kwenye simu

Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli". Ukiona upo na mpenzi na yeye hana wivu kwako basi hana mapenzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mpenzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata...

 

11 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ‘DIAMOND’ KATIKA POZI

Mshindi wa tuzo saba za KTMA Nasibu Abdul ‘Diamond’ katika pozi.

 

10 years ago

Vijimambo

NASIBU ABDUL "DIAMOND" ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu GPL
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati.

Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake. Diamond akiwa hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi wake walitengana kwa sababu ambazo bado hazijawa wazi na baba yake kumuacha na...

 

9 years ago

Bongo5

Zari hajawahi kuolewa — Diamond

Diamond Platnumz amesema Zari hajawahi kuolewa na kwamba hadi sasa hajapokea barua yoyote kutoka mahakamani ikimtaka kuchukua vipimo vya DNA vya mtoto wake, Tiffah. Diamond akiwa na mtoto wake Tiffah Kwa mujibu wa Diamond, barua iliyowekwa kwenye akaunti ya King Lawrenc ni moja ya njia ya swahiba hiyo wa ex wa Zari, Ivan ya kujipatia […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

9 years ago

Bongo5

Q-Chief asema anatarajia kufunga ndoa January 2016

Chilla

Staa wa muziki Aboubakary Shabani Katwila a.k.a Q-Chief, ambaye tayari amejaliwa kuwa baba yuko mbioni kuiaga kambi ya mabachela.

chief

Q-Chief ametangaza kuwa sasa ameona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu.

Akizungumza na E-Newz ya EATV, Q Chilla amesema katika maandalizi yake hayo ya harusi itakayofanyika mwezi January mwakani, pia ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya mchumba wake huyo ambaye ni mzaliwa wa hapa nchini Tanzania.

“Wimbo ambao nimemzawadia mke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani