Q-Chief asema anatarajia kufunga ndoa January 2016
Staa wa muziki Aboubakary Shabani Katwila a.k.a Q-Chief, ambaye tayari amejaliwa kuwa baba yuko mbioni kuiaga kambi ya mabachela.
Q-Chief ametangaza kuwa sasa ameona ni wakati muafaka wa kufunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu.
Akizungumza na E-Newz ya EATV, Q Chilla amesema katika maandalizi yake hayo ya harusi itakayofanyika mwezi January mwakani, pia ameandaa wimbo maalum kwa ajili ya mchumba wake huyo ambaye ni mzaliwa wa hapa nchini Tanzania.
“Wimbo ambao nimemzawadia mke...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboZari Hassan kufunga ndoa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, "Asema hakuna umri maalumu wa Kuoa au Kuolewa"!
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
TEEP 2016 – 2nd Annual Tony Elumelu Entrepreneurship Programme Round Launches 1st January 2016
Mr. Tony Elumelu (in red tie) addresses the 2015 TEEP Participants during the three day boot camp in Ota Nigeria 11th July 2015.
2015 TEEP entrepreneurs from all over Africa take a group picture with Mr. Tony Elumelu (in Red tie) during the boot camp in Ota Nigeria.
Some of the TEEP participants from Tanzania having dinner organized for them by United Bank for Africa as send off to the boot camp in Ota Nigeria.
Happy 2015 TEEP entrepreneurs who represented Tanzania as they head for the...
9 years ago
VijimamboKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
9 years ago
Michuzi06 Jan
9 years ago
Bongo517 Dec
Ujenzi wa Flyover za Dar kuanza January, 2016 – Magufuli
Rais Dk John Pombe Magufuli amesema ujenzi wa barabara zinazopita juu, flyover jijini Dar es Salaam utaanza rasmi January mwakani.
Magufuli amesema hayo jana baada ya mkutano na ujumbe kutoka kwa waziri mkuu wa Japan, Shinzō Abe ikulu jijini Dar es Salaam.
Ujenzi huo utafanyika kwa ushirikiano wa Tanzania na Japan.
“Kandarasi ameshakuja, ameshaanza kufanya mobilization pale TAZARA, fedha zipo na advance payment ameshalipwa, kwahiyo inawezekana kwenye mwezi wa kwanza jiwe la msingi...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016
Mwimbaji Harmonize wa single ya ‘Aiyola‘ akiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz, January 1 2016 alifanya show yake ya pili toka ameitoa Aiyola, kila kitu nimekuwekea kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]
The post Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
CloudsFM19 Dec
MENINA KUFUNGA NDOA?
Msanii wa Bongo Fleva,Menina amepongezwa na mashabiki wake baada ya kutupia picha kwenye mtandao akiwa amevaa shela la harusi huku watu wakijiuliza huenda ameolewa kwa siri au anatarajia kufunga ndoa.
Menina aliandika hivi Alhamdulilah finally soon to come Allah! Ibarik inshaallah gheir nakupenda saana #habib wangu......Baadhi ya mshabiki walimpongeza: sophybeiby @meninahladivah heee hongera ndo hata kunitonya mdogo wangu haya mwaya kila la kheri Nakupenda sana.
ramadhanijuma58 Umependeza...
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Picha za Rais mstaafu JK alipokwenda Ikulu January 6 2016 + maelezo mafupi.
Rais mstaafu wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda Ikulu Dar es salaam January 6 2016 kukutana na Rais Magufuli ambapo taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema kwenye mazungumzo yao JK alimtakia heri ya mwaka mpya JPM na kumpongeza kwa uongozi mzuri. Pia JK alisema anaunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na Rais Magufuli ikiwemo […]
The post Picha za Rais mstaafu JK alipokwenda Ikulu January 6 2016 + maelezo mafupi. appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
CloudsFM17 Dec
EMMANUEL OKWI KUFUNGA NDOA ''SOON''
Mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Uganda na klabu ya Simba ya jijini Dar,Emmanul Okwi anatarajia kufunga ndoa mwezi huu nchini humo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema kuwa Okwi amepewa ruhusa ya kushughulikia masuala yake na hasa hilo la ndoa.
“Anatarajia kufunga ndoa mwezi huu, nafikiri itakuwa tarehe ishirini, ndiyo maana tumempa ruhusa.
Taarifa za kutoka Kampala zinaeleza, Okwi anamuoa mpenzi wake wa siku nyingi na maandalizi...