KIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Oct
KIWIA akanusha kuzimia baada ya matokeo kutangazwa!
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, Highness Kiwia akionyesha moja ya karatasi yenye makosa.
-asema anatarajia kufungua kesi mahakamani kwani bado hajasaini matokeo
Na George Binagi-GB Pazzo
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja...
9 years ago
BBCSwahili25 Oct
Matokeo ya kura Tanzania kutangazwa kesho
9 years ago
CHADEMA BlogKAULI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KUPINGA MATOKEO YANAYOENDELEA KUTANGAZWA NA NEC
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-b1Dh_2-XAtg/Vi29aKBXTzI/AAAAAAAICz8/GV9Xv0aHMg8/s72-c/IMG_9447.jpg)
Matokeo ya Urais kutangazwa ukumbi wa Julius Nyerere International Convention centre kwa awamu tatu leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-b1Dh_2-XAtg/Vi29aKBXTzI/AAAAAAAICz8/GV9Xv0aHMg8/s640/IMG_9447.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-_S8Xjxto0bA/Vi29bNr7EVI/AAAAAAAIC0E/nLk5GGKBKnE/s640/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SXjX_rLx-4I/Vi29c2jEg9I/AAAAAAAIC0M/61BSAU5cRHk/s640/6.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
9 years ago
Mzalendo Zanzibar30 Sep
Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE
Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]
The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Washauri matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani
9 years ago
StarTV02 Nov
Kafulila kwenda mahakamani kuyapinga matokeo ya Ubunge
Aliyekuwa Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini Kupitia Chama cha NCCR Mageuzi David Kafulila amesema anakusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa Ushindi Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Husna Mwilima kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25, mwaka huu.
Kafulila amesema amefikia hatua hiyo kwa lengo la kutafuta haki yake baada ya kutoridhishwa na matokeo ya kushindwa na kwamba matokeo yaliyotangazwa katika nafasi hiyo Jimboni kwake ni tofauti na yale aliyonayo...