Washauri matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani
Waangalizi wa uchaguzi wa Kimataifa wameitaka Tanzania kuifanyia mabadiliko ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani katika chaguzi zijazo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Burundi: Agathon Rwasa aapa kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais mahakamani
10 years ago
VijimamboKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Dk Kebwe kupinga matokeo mahakamani
10 years ago
StarTV02 Nov
Kafulila kwenda mahakamani kuyapinga matokeo ya Ubunge
Aliyekuwa Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kusini Kupitia Chama cha NCCR Mageuzi David Kafulila amesema anakusudia kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliompa Ushindi Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Husna Mwilima kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Octoba 25, mwaka huu.
Kafulila amesema amefikia hatua hiyo kwa lengo la kutafuta haki yake baada ya kutoridhishwa na matokeo ya kushindwa na kwamba matokeo yaliyotangazwa katika nafasi hiyo Jimboni kwake ni tofauti na yale aliyonayo...
10 years ago
Habarileo29 Oct
CCM kupinga mahakamani matokeo ya majimbo manne
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kutoridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye majimbo ya Kawe, Ndanda, Mikumi na Iringa Mjini na kimesema kitayapinga matokeo hayo mahakamani.
10 years ago
Mwananchi29 Oct
CCM kupinga matokeo ya Mdee, Mch. Msigwa mahakamani
10 years ago
StarTV04 Nov
 CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.
Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.
Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...
10 years ago
CHADEMA Blog10 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Oct
Utoaji wa matokeo ya urais — ZEC
Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo imewaonesha waandishi wa habari na waangalizi wa uchaguzi matayarisho ya tume hiyo pamoja na namna watakavyohesabu matokeo katika kituo cha kurushia matokeo hayo hapo Bwawani Hoteli.. Matangazo hayo […]
The post Utoaji wa matokeo ya urais – ZEC appeared first on Mzalendo.net.