Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016

Mwimbaji Harmonize wa single ya ‘Aiyola‘ akiwa ni mwimbaji wa kwanza kutambulishwa kwenye lebo ya WCB inayomilikiwa na mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz, January 1 2016 alifanya show yake ya pili toka ameitoa Aiyola, kila kitu nimekuwekea kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Video ya Harmonize na mashabiki kwenye stage Dodoma January 1 2016 appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video)

Dec 25 2015 Msanii Harmonize kutokea Wasafi Classic Baby (WCB) aliandika historia nyingine katika maisha yake ya muziki, ambapo kwa mara ya kwanza alipanda kwenye stage toka aachie hit song ya ‘Aiyola’ Shangwe lilifanyika Tanga, Tanzania. Licha ya yote, kuna mambo yalitokea na hakuyapenda. Unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitazama video yote.  Unataka kutumiwa MSG […]

The post Yaliyomkuta Harmonize baada ya kupanda kwenye stage mara ya kwanza Dec 25…(+Video) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii !

Mastaa wengi wa bongofleva wamepiga show kwenye area tofauti Xmas hii, nilizoweza kukurekodia ni hizi pia ikiwemo ya msanii kutoka lebo ya Diamond >> Harmonize, nyingine ni ya Diamond mwenyewe Dar live Mbagala Dar es salaam na ya Alikiba Escape One Mikocheni Dar es salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]

The post Kama ulimis kilichofanywa na Alikiba, Diamond na Harmonize kwenye stage Xmas hii ! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 7, 2016

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  January 7, 2016, unazisoma zote kwa pamoja. Taasisi tatu za Serikali zapewa siku 14 na mamlaka ya majisafi […]

The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 7, 2016 appeared...

 

9 years ago

MillardAyo

Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania January 5, 2016

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  January 5, 2016, unazisoma zote kwa pamoja. Sakata la Makontena bandarini laibua vituko, mtoto wa KOVA na vigogo […]

The post Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania...

 

9 years ago

MillardAyo

#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI ya leo Tanzania January 6, 2016

‪Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti  January 6, 2016, unazisoma zote kwa pamoja. Oparesheni ya kuondoa mifugo iliyovamia kwa kasi bonde la Kilombero Morogoro […]

The post #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye MAGAZETI ya leo Tanzania January...

 

9 years ago

Dewji Blog

TEEP 2016 – 2nd Annual Tony Elumelu Entrepreneurship Programme Round Launches 1st January 2016

0E1A0836

Mr. Tony Elumelu (in red tie) addresses the 2015 TEEP Participants during the three day boot camp in Ota Nigeria 11th July 2015.

0E1A0996

2015 TEEP entrepreneurs from all over Africa take a group picture with Mr. Tony Elumelu (in Red tie) during the boot camp in Ota Nigeria.

Entrepreneurs send off 2

Some of the TEEP participants from Tanzania having dinner organized for them by United Bank for Africa as send off to the boot camp in Ota Nigeria.

IMG_1740

Happy 2015 TEEP entrepreneurs who represented Tanzania as they head for the...

 

5 years ago

Bongo5

Exclusive interview na Amanda Swartbooi, model kwenye video ya Show Me ya Harmonize na Mavoko na Coolest Kids in Africa ya Davido

Amanda Swartbooi, ni sura ambayo utaiona sana mwaka huu. Macho ya wengi yalimuona mrembo huyu kwenye video ya Davido na Nasty C, Coolest Kids in Africa na hakika alionesha kuwa ni habari nyingine kwenye fani hiyo. Harmonize na Rich Mavoko wamefanikiwa kumtumia kwenye video ya wimbo wao, Show Me ambaye tayari ameifanya video hiyo iwe gumzo mtandaoni.

Nimemtafuta Amanda na kuzungumza naye mawili matatu ili kumfahamu zaidi. Fuatilia chat yetu hapo chini:

1. When did you start appearing on...

 

9 years ago

MillardAyo

Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video).

Baada ya kusiogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape  hiyo ya December 2015. Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; […]

The post Trey Songz anaisogeza ya kwanza kwa mwaka 2016 kwenye video: ‘Blessed’ – (Video). appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani