Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA

Stori: Gladness Mallya MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ambaye amekuwa akidaiwa kutumia madawa ya kulevya maarufu kama unga, amesema utofauti wa muonekano wake kwa sasa siyo kwa sababu ya uteja, bali inatokana na umri wake kusogea. Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela. “Unajua mtu unavyozidi kukua na muonekano nao unabadilika, lakini itafikia kipindi nitakuwa sawa tu hivyo naomba mashabiki wangu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MLELA KUOA MWANAMKE ALIYEMZIDI UMRI

Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Yusuf Mlela ametoa kioja cha aina yake baada ya kufunguka kuwa akifika hatua ya kuingia kwenye ndoa anataka mwanamke atakayemzidi umri. Yusuf Mlela. Tofauti na vijana wengine ambao wanapenda kuoa wake wadogo kwao, Mlela alisema anaamini mwanamke akimzidi umri ndoa itadumu na maisha yao yatakuwa mazuri kwani atakuwa tayari ameshakomaa kiakili na atakuwa na uwezo mkubwa wa kuiendesha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Sili asababisha foleni ndefu Marekani

Wakaazi wa mji wa California walilazimika kutafuta njia mbadala baada ya sili mmoja kukwama barabarani mchana kutwa.

 

5 years ago

Michuzi

PESA ZA BSS BADO, SILI BATA - MESHACK


 Na Khadija Seif, Michuzi Tv
MSHINDI wa BSS mwaka 2019, Meshack Fukuta amesema kuwa akipata hela zake za ushindi ambazo ni shilingi Milioni 20 atazitumia kwa ajili ya muziki wake na  sio kula bata kama watu ambavyo wamezoea.

Akizungumza na Michuzi Tv amesema kuwa hela ambazo anazitegemea kuzipata hivi karibu sio ndogo wala sio nyingi ila asipo tuliza akili anaweza kuja kujikuta amezitumia bila ya kutimiza malengo yake.

“Sijapata hela bado na ni lazima nijipange ili nisije kuchanganyikiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha

Nafurahi kuona kwamba hujang’ang’ania hoja ya uzee hata siku moja licha ya mvi zako. Wala sijakusikia ukitamba eti wewe una akili au busara zaidi eti kwa kuwa ni mzee. Sifa sana kwako.

 

9 years ago

Bongo Movies

Mlela na ‘Kicheche’

Yusuph Mlela ametoa filamu ya ‘Kicheche’ ili kudhihirisha ubora wake katika uongozaji na uigizaji amesema.

Aidha, Mlela ambaye alikuwa akitumika kucheza kazi za wasanii wengine tangu kuingia katika tasnia hiyo, alisema ameamua kufanya kazi zake ili kuongeza kipato.

“Siku zote ukifanya kazi za watu itafikia mahali utakuwa huoni faida. Bora nifanye kazi zangu mwenyewe’,” alisema.

“Sipo tayari kuona wenzangu wanamiliki kampuni wakati na mimi nina uwezo wa kufanya hivyo.”

Chanzo:...

 

10 years ago

GPL

MAPENZI YAMTESA MLELA

Na Rhoda Josiah
STAA wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela amesema kuwa hahitaji mwanamke kwa sasa kutokana na wanawake wengi aliokuwanao kuwa waongo. Staa wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela. Akipiga stori na mwandishi wetu, Mlela ambaye ni baba wa mtoto mmoja, alisema hahitaji mwanamke wa aina yeyote kwani wengi wao walimtesa kipindi cha nyuma. “Kwa sasa mwanamke wangu ni pesa tu na kazi yangu ya sanaa na kuwaza juu ya...

 

11 years ago

GPL

MLELA: ULEZI UMENIFICHA

Na Gladness Mallya
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amefunguka kuwa ukimya huo umesababishwa na malezi ya mwanaye. Yusuf Mlela. Akichonga na gazeti hili, Mlela alisema anahitaji muda mwingi kukaa na mwanaye Mwantumu kama baba hivyo majukumu yamekuwa mengi, anawaomba mashabiki wake kuelewa kwani ‘soon’ atakuja kivingine.… ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…

YUSUPH  Mlela ni msanii maarufu wa  filamu nchini  aliyeweza   kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu  tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.

Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao  wameweza kutunza heshima yao  tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.

Raia Tanzania imezungumza na Mlela  ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake  awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:

Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani