Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLELA: ULEZI UMENIFICHA

Na Gladness Mallya
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amefunguka kuwa ukimya huo umesababishwa na malezi ya mwanaye. Yusuf Mlela. Akichonga na gazeti hili, Mlela alisema anahitaji muda mwingi kukaa na mwanaye Mwantumu kama baba hivyo majukumu yamekuwa mengi, anawaomba mashabiki wake kuelewa kwani ‘soon’ atakuja kivingine.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

WaterAid yawajengea uwezo wadau wa afya ya ulezi na uzazi

DSC00416

Mkurugenzi wa masuala ya fedha, uchumi na misaada wa shirika la WaterAid Tanzania, Juliet Kayendeke, akizungumza kwenye ufunguzi wa warsha ya siku mbili, iliyohusu kuwajengea uwezo wasimamizi wa mradi wa kuimarisha haki na kuboresha afya ya wanawake, wasichana na watoto katika halmashauri ya wilaya ya Iramba na manispaa ya Singida. Mradi huo wa miaka mitatu,unatarajiwa kukamilika baada ya miaka mitatu na unatarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja.

Nathaniel Limu, Singida

VITENDO...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mlela na ‘Kicheche’

Yusuph Mlela ametoa filamu ya ‘Kicheche’ ili kudhihirisha ubora wake katika uongozaji na uigizaji amesema.

Aidha, Mlela ambaye alikuwa akitumika kucheza kazi za wasanii wengine tangu kuingia katika tasnia hiyo, alisema ameamua kufanya kazi zake ili kuongeza kipato.

“Siku zote ukifanya kazi za watu itafikia mahali utakuwa huoni faida. Bora nifanye kazi zangu mwenyewe’,” alisema.

“Sipo tayari kuona wenzangu wanamiliki kampuni wakati na mimi nina uwezo wa kufanya hivyo.”

Chanzo:...

 

10 years ago

GPL

MAPENZI YAMTESA MLELA

Na Rhoda Josiah
STAA wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela amesema kuwa hahitaji mwanamke kwa sasa kutokana na wanawake wengi aliokuwanao kuwa waongo. Staa wa sinema za Kibongo, Yusuf Mlela. Akipiga stori na mwandishi wetu, Mlela ambaye ni baba wa mtoto mmoja, alisema hahitaji mwanamke wa aina yeyote kwani wengi wao walimtesa kipindi cha nyuma. “Kwa sasa mwanamke wangu ni pesa tu na kazi yangu ya sanaa na kuwaza juu ya...

 

10 years ago

GPL

MLELA AMPIGA DONGO NORA

Stori Mwandishi Wetu
KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua. Msanii wa filamu Bongo, Yusuph Mlela.
“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule,  isitoshe ameshakuwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…

YUSUPH  Mlela ni msanii maarufu wa  filamu nchini  aliyeweza   kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu  tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.

Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao  wameweza kutunza heshima yao  tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.

Raia Tanzania imezungumza na Mlela  ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake  awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:

Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...

 

9 years ago

GPL

MLELA AKIRI KUPONZWA NA STAREHE!

Brighton masalu YUSUF Mlela ‘Angelo’ amekiri kurudishwa nyuma kimaendeleo kutokana na kuendekeza sana starehe siku za nyuma, ikiwemo ulevi kupindukia na kubadili wanawake. Yusuf Mlela ‘Angelo’. Akizungumza kwa njia ya simu Jumanne ya wiki hii katika mazungumzo ya kawaida na mwandishi wetu, Mlela alisema kila wakati alikuwa akigombana na mama yake mzazi juu ya suala hilo na kuona kama anaonewa lakini kwa sasa amekua na...

 

9 years ago

GPL

MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI

Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela akiwa na shombeshombe huyo. Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti hili kuwa, Mlela ameonekana visiwani humo kwa wiki nzima akijiachia na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja bila kuhofia wala kuogopa macho ya watu. Alipoulizwa kwa njia ya simu...

 

11 years ago

GPL

MLELA: UKIOA MSANII NI STRESS

Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela ameweka bayana kuwa kuoa mwanamke ambaye ni msanii ni kujipa ‘stress’ zisizokuwa za msingi. Mwigizaji asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela “Kuoa msanii ni tatizo, wasanii wengi wanapenda kuigiza maisha yao, wanachokiigiza katika filamu, wanakiingiza katika maisha ya kawaida, huwezi kudumu nao,” alisema Mlela alipozungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani