MLELA: UKIOA MSANII NI STRESS
![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3BKyO-f-eeCfoclBIas0LR2-vbqM-wwoitip3*cs417-gsm03l14KL3w5S3psa*u2EtH-oee1cACZN0wU*ldYe/mlela.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema MWIGIZAJI asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela ameweka bayana kuwa kuoa mwanamke ambaye ni msanii ni kujipa ‘stress’ zisizokuwa za msingi. Mwigizaji asiye na makeke Bongo Movies, Yusuph Mlela “Kuoa msanii ni tatizo, wasanii wengi wanapenda kuigiza maisha yao, wanachokiigiza katika filamu, wanakiingiza katika maisha ya kawaida, huwezi kudumu nao,†alisema Mlela alipozungumza na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies16 Aug
Mlela na ‘Kicheche’
Yusuph Mlela ametoa filamu ya ‘Kicheche’ ili kudhihirisha ubora wake katika uongozaji na uigizaji amesema.
Aidha, Mlela ambaye alikuwa akitumika kucheza kazi za wasanii wengine tangu kuingia katika tasnia hiyo, alisema ameamua kufanya kazi zake ili kuongeza kipato.
“Siku zote ukifanya kazi za watu itafikia mahali utakuwa huoni faida. Bora nifanye kazi zangu mwenyewe’,” alisema.
“Sipo tayari kuona wenzangu wanamiliki kampuni wakati na mimi nina uwezo wa kufanya hivyo.”
Chanzo:...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGXxsS4B3jVoPnLymwPQrZD7PzN3CqYSIjMs-sfcAfoox4YmimbJJxA6nmCjx-VqkKVzPoS7dOAqUUyodT6Rp4U/mlela.jpg?width=650)
MLELA: ULEZI UMENIFICHA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxabn0rUAW7aEaWDXztYqW9kvHqALw2w89CLwT0--bQ4bYIbck6xj8LZNvVOQBDt8PsRSkUi*HE1aKwZALSbM183/mlela.jpg?width=650)
MAPENZI YAMTESA MLELA
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Mlela ageukia Bongo Fleva
Staa wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela.
Suzan kayogela
BAADA ya kuegemea upande wa filamu kwa muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela ameamua kugeukia Muziki wa Bongo Fleva rasmi ili kutimiza ndoto zake za muda mrefu alizokuwa nazo.
Akistorisha na kona ya Bongo Muvi Mlela alisema kuwa, kabla ya kujikita kwenye uigizaji alikuwa na nia ya kuanza kufanya muziki lakini baadaye alikuja kubadili uamuzi na kufanya filamu ambazo zimemletea heshima kubwa.
“Nimeshatengeneza ngoma yangu ambayo...
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…
YUSUPH Mlela ni msanii maarufu wa filamu nchini aliyeweza kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.
Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wameweza kutunza heshima yao tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.
Raia Tanzania imezungumza na Mlela ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:
Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...
11 years ago
GPLHEMED, MLELA BIFU PALEPALE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscadNq2qXVrzF*OM1F7ioLtcYZSYW6NPM7vRUtfu*lCKLmjAPJQFWKLJuTKRQDz9bN2EgSR5qRaMWJxazANSh48z/mlela.jpg)
MLELA AMPIGA DONGO NORA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYteqVIgNzIBFm4tT8di2cLrDAq-zweaMPvrTQJS1-8D0pZ90PReW7SIeWqerCP0*LI-WFn1vg3ZcXNZ-xOr-Gvl/mlela1.jpg?width=650)
MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-M5JLAFxn1FEUpcX7uEARk-DqG*SXxlnK3wfjclgwBB3eBKqMQ1ArJBaX*hFwSYg0YWr5y4k8iZkN8pUCjWXuUACNbrcXB0n/Mlela.jpg)
MLELA AKIRI KUPONZWA NA STAREHE!