MLELA AJIACHIA NA SHOMBESHOMBE ZENJI
![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYteqVIgNzIBFm4tT8di2cLrDAq-zweaMPvrTQJS1-8D0pZ90PReW7SIeWqerCP0*LI-WFn1vg3ZcXNZ-xOr-Gvl/mlela1.jpg?width=650)
Staa wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela akiwa na shombeshombe huyo. Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela juzikati alinaswa Zanzibar akijiachia kimahaba na mrembo shombeshombe.Chanzo makini kililitonya gazeti hili kuwa, Mlela ameonekana visiwani humo kwa wiki nzima akijiachia na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja bila kuhofia wala kuogopa macho ya watu. Alipoulizwa kwa njia ya simu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TJP9R5X7WneleXFhgRJDYmN2-UOCoFBLzHtNm-ZoH7-CxVrmsFimejlmTMtCB0dSbIassqNx4s1npRnfdqk6mnL2qe6Z9m4E/mrembo.jpg?width=650)
SHOMBESHOMBE AMVAA DIAMOND
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXz1wS4ZM-LCxPWeNPkN4V4G1TFDRKcuh1lyKif03QPsI4GSansNSeSH9yHvEjpn20e7WrMMmVJpBDx7DEO-7Ltu/PENNY1.jpg)
VJ PENNY AJIACHIA INSTAGRAM
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Kajala ajiachia na dada’ke diamond!
Mwigizaji Kajala Masanja akiwa na Queen Darleen wakiponda raha.
Na Musa Mateja
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara na dada wa Diamond, Queen Darleen, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Kwa mujibu wa chanzo makini, Kajala na Queen Darleen wamekuwa ‘beneti’ kila kona ambapo pia kuna fununu kuwa hata familia ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akRs5-pkQHqKdb*MAkjKx2F7Iw6qtBvdluK*Cs8o4kJf6XySWXSTI90z2DnS8pRWeeu7AGc-uioc3JhRBLpQKA8K/BALOTELLI5.jpg?width=650)
MARIO BALOTELLI AJIACHIA NA MPENZI WAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HMrNkLH2ZKPTAepJtTKe7SeFc07rf3i4JNyrDnP9k-KMZuXjG04aV-5zJUO4OBOoxgl1N66LbsXSPgJbY8fmAzvzecy3mXBg/27C45851000005780imagea128_1429503269356.jpg?width=650)
RIHANNA AJIACHIA FUKWE ZA HAWAII, MAREKANI
10 years ago
CloudsFM09 Feb
Wema ajiachia Sauz na ‘’mume’’ wa Zari
Kumekuwa na sintofahamu baada ya picha za Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mume wa mpenzi wa sasa wa Diamond Platnumz,Zari,Ivan kusambaa mtandaoni wakiwa nchini Afrika Kusini.
Hiyo picha inamwonyesha wema akiwa na Ivan lakini inaonekana si picha rasmi mpango unaonekana ulikua wa siri sana kwani inaonekana kama imepigwa wahusika hawakuwa tayari.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09XAjKfsvxrnps6JZVPB8ifHc4SYYWfbXGr9-NPy0vcO-YRHEb*gYa7vGgw8RMxm1XR4UvyoY*Kj1STzMZtH9U-3/34.jpg)
AMTOROKA BWANA’KE AJIACHIA NA MIDUME 5
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sare zaing’oa Simba ‘Zenji’
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amesema haoni haja ya kurejea Zanzibar kuendelea na kambi kwa mechi zijazo za Ligi Kuu, baada ya kuambulia sare katika mechi mbili mfululizo katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N3KOhR8v2a10cJAgvZmRJiet4ZM2XxJ*q9wAzkrxd-Wavs0YUmViVIhXX6r4HE-ax4sC5zz*433xMIsZYUYH3eSyo8l9pL*w/UOIOYO.gif?width=650)
Mavugo akusanya kijiji Zenji