Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema ajiachia Sauz na ‘’mume’’ wa Zari

Kumekuwa na sintofahamu baada ya picha za Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mume wa mpenzi wa sasa wa Diamond Platnumz,Zari,Ivan kusambaa mtandaoni wakiwa nchini Afrika Kusini.

Hiyo picha inamwonyesha wema akiwa na Ivan lakini inaonekana si picha rasmi mpango unaonekana ulikua wa siri sana kwani inaonekana kama imepigwa wahusika hawakuwa tayari.

Mashabiki wamekuwa wakijiuliza kuwa Wema ameamua kulipiza kisasi baada ya kunyang’anywa mpenzi wake na Zari? Au kuna project...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA: MUME WA ZARI ANATAKA KUNIOA

Stori: MUSA MATEJA/Risasi
MAMBO hadharani! Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka kumuoa, Risasi Jumamosi lina full stori.…

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ANASA KWA SHOSTI WA ZARI

Kampala, Uganda Habari kutoka nyumba ya jirani nchini Uganda ikufikie kwamba aliyekuwa mume wa mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kunasa penzi la shosti wa kufa na kuzikana wa mkewe huyo aitwaye Stella Nankya, Ijumaa Wikienda limetonywa. Aliyekuwa mume wa Zari akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni shosti wa kufa na...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, MAMA’KE, ZARI WALA BATA SAUZ

Stori: Imelda Mtema
GOOD time! Katika hali ya kushangaza, mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama’ke (Sanura Kassim ‘Sandra’) na mama la mama, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamekutana pande za Sauz na kuponda raha, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo. Mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila bata na mtoto mzuri, ‘Zari The...

 

10 years ago

GPL

MUME WA ZARI ABAMBIKIWA MIMBA!

Kampala, Uganda Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote kutoka sasa, aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, tajiri Ivan Ssemwanga anadaiwa kubambikiwa mimba na mtangazaji wa runinga aitwaye Doreen Kumhangi, Ijumaa limeidaka.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1LUhLsE ...

 

10 years ago

GPL

MUME: ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND

Stori: Kampala, Uganda Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.” Staa mkubwa wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema, Zari Wakinukisha!

Kwa upande wa burudani wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party aliekinukisha  usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu aliyokinukisha  jijini Mwanza ambapo mashabiki wa  warembo hao warushiana maneno.

 Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la Risasi kilidai kuwa Zari amepata sapoti kubwa kutoka kwa mpenzi wake wa sasa Diamond kwani walikuwa...

 

10 years ago

GPL

WEMA MREMBO KULIKO ZARI

IMELDA MTEMA Kumbe! Imebainika kuwa maneno ‘gold digger’ katika ulimwengu wa fursa yanamaanisha kuwa ni mtu anayeona fursa na kuzitumia katika ‘kufaiti’ kupata mafanikio (utajiri) kwenye maisha. Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ Ndivyo alivyo mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ambaye humwambii kitu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani