Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIAMOND ATAZIMIA AKIZIONA PICHA HIZI ZA MTOTO WAKE NA MUME WA ZARI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

It’s All Love: Ivan ahudhuria White Party ya ex wake Zari, Diamond aikacha (Picha)

12353812_1151509724878786_161931566_n

Wana watoto watatu pamoja na wana biashara kibao za pamoja, hivyo ni ngumu kwa Zari na mume wake wake wa zamani, Ivan kupotezeana licha ya kila mmoja kuchukua njia yake kimahusiano.

12353812_1151509724878786_161931566_n
Ivan na jamaa zake wa Rich Gang wakila bata kwenye Zari All White Party

Ndio maana Ivan na mpambe wake King Lawrenc walisafiri kutoka SA na kwenda kumuunga mkono Zari ambaye Alhamis hii aliandaa party yake ya kila mwaka ya mavazi meupe tu kwenye kiota cha Guvnor kilichopo Kampala Uganda.

12353814_958158024259191_1152221886_n

Ivan alionekana...

 

9 years ago

Bongo Movies

Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.

diamond33
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable😍
Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake...

 

10 years ago

GPL

MUME: ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND

Stori: Kampala, Uganda Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.” Staa mkubwa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAMJUA ZARI AU UNAMSIKIA JITIRIRISHE NA HIZI PICHA HAPA CHINI NDIYO UJIPE MAJIBU YA MASWALI YAKO


Kwanini ni Bossy Lady jitiririshe hapa kiroho safi wala bila MfyuuuunyoParty Zari diva always celebrating her lifeSelf made BossZari with her Ex- Baby DadSexy beach babeZari with her girls all set for a charity event this EasterCharity begins @ home. On a charity day at katanga. Served the shelter with Easter lunch Sexy mama of three She's sexy & she knows itShe runs the townAt her stores Zari Jewels & The Renaissance Man by Zari Proud mama with her boysZari..Zari and her girls on a night...

 

10 years ago

GPL

UKWELI PICHA NDOA YA DIAMOND NA ZARI

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ katika pozi. Musa Mateja Kutafuta kiki? Wikiendi iliyopita, gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii lilikuwa ni kuhusu stori ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufunga ndoa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ lakini Ijumaa...

 

10 years ago

Mtanzania

Diamond, Zari wapata mtoto wa kike

Diamond-Platnumz-na-ZariNA VICTORIA PATRICK (TSJ)

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) na mpenzi wake, Zarina Hassan (Zari) wamefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina Princess Tiffan.

“Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najisikia ndani ya moyo wangu, karibu kwenye ulimwengu Princess Tiffan” aliandika Diamond katika kurasa zake mbalimbali katika mitandao ya kijamii baada ya kumpata mtoto huyo juzi.

Baada ya kuandika hivyo, wadau na wasanii mbalimbali wa sanaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani