Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond, Zari wapata mtoto wa kike

Diamond-Platnumz-na-ZariNA VICTORIA PATRICK (TSJ)

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) na mpenzi wake, Zarina Hassan (Zari) wamefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina Princess Tiffan.

“Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najisikia ndani ya moyo wangu, karibu kwenye ulimwengu Princess Tiffan” aliandika Diamond katika kurasa zake mbalimbali katika mitandao ya kijamii baada ya kumpata mtoto huyo juzi.

Baada ya kuandika hivyo, wadau na wasanii mbalimbali wa sanaa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Diamond na Zari wajaliwa mtoto wa kike

Msanii wa Bongo mwenye umaarufu wa kimataifa, Diamond Platnumz, maarufu, Naseeb Abdul, amepata majukumu mapya baada ya kujaliwa mtoto.

 

10 years ago

Vijimambo

Zari ajifungua mtoto wa kike

MTOTO WA ZARI
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.


Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: ZARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari’. MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema...

 

10 years ago

CloudsFM

Unaijua ‘jinsia’ ya mtoto wa Zari na Diamond?

Shauku ya kumsubiria mtoto atakayezaliwa na mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnuz,Zari imekuwa kubwa sana kwa mastaa hao baada ya kupost picha ya watoto wawili wa kike na wa kiume huku Zari akiandika A or B?Kupitia account zao za Instagram waliweka picha picha hizo huku mashabiki wengi wakipigia kura picha A ikionyesha kuwa mtoto wao atakuwa wa kike.Baadhi ya mashabiki waliopigia kura picha A kombaclara Bbbbbb 1h
happyjanuary91 A mum
pendomagere A 1h
rucrasure A 24min

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AANZA MAANDALIZI KWA AJILI YA MTOTO WAKE WA KIKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ameonyesha kuanza maandalizi kwa kijacho wake ambaye imeelezwa ni mtoto wa kike. Diamond na mpenzi wake Zarinah Hassan 'The Boss Lady' wanatarajia mtoto wa kike mwaka huu. Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diamond ametupia picha akiwa na kitanda cha magurudumu kwa ajili ya mtoto mchanga.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama 40 ya mtoto wa Diamond na Zari (Tiffah’s 40) Part 1

Mtoto wa Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari, Latiffah alioneshwa sura yake kwa mara ya kwanza Jumapili ya September 20,2015 ambapo pia ilifanyika hafla ya kufikisha siku arobaini tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo. Halfa hiyo iliyofanyika kwenye makazi ya Diamond aliyoyabatiza kama ‘State House’ ilirushwa kupitia Clouds TV kwenye kipindi maalum (Tiffah’s 40), kilichoonesha siku […]

 

10 years ago

Vijimambo

HII NI ISHARA KWAMBA DIAMOND NA ZARINAH WANATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE


Remember that you'll never have to fight for a spot in the life of someone who truly loves, respects, or cares about you.....it shld be mutual!!!!"-ZARI 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani