Video: Tazama 40 ya mtoto wa Diamond na Zari (Tiffah’s 40) Part 1
Mtoto wa Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari, Latiffah alioneshwa sura yake kwa mara ya kwanza Jumapili ya September 20,2015 ambapo pia ilifanyika hafla ya kufikisha siku arobaini tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo. Halfa hiyo iliyofanyika kwenye makazi ya Diamond aliyoyabatiza kama ‘State House’ ilirushwa kupitia Clouds TV kwenye kipindi maalum (Tiffah’s 40), kilichoonesha siku […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/iXbY1jhuJ4g/default.jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8ZrDoifoKEcJGGdOZ-179aFmW9KrVfrqQAcjssRx1Is--lNxqUnZtNGNMRimpJq7KfmL0epI5BD94G78azYihxg/FRONTWIKIENDA1.gif?width=650)
TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BkvACp04wRNHq1P0nYATIzPco-sG-4vaZveQ1OrSXpk7*Tkz1-Cpznidk6b5wziZCZNfNr1iQ83S811VWTVICvK/ymCTBkp.jpg?width=650)
DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.
Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.
Wazazi wake wameweza kumficha sura...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dU2ULZdzz-jV5KI3PnZes4d81IXEz9TOCxTxPFbRjxeFkKra5BtmnYUix90oSsoyNqhsiP8OvOSK2JvitavY9dl/FRONTRISASIJMOSI.gif?width=650)
TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-A0HnV7K6r0M/VcXE_XA49vI/AAAAAAAAXTQ/guYeKpgKPE0/s72-c/diamond.jpg)
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Picha Hii ya Diamond na Mtoto wake Tiffah Yawa Gumzo
Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram.
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable”
Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana kuona ipo sawa na inaonyesha ni kwajinsi gani Diamond anavyompenda motto wake...
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Diamond, Zari wapata mtoto wa kike
NA VICTORIA PATRICK (TSJ)
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) na mpenzi wake, Zarina Hassan (Zari) wamefanikiwa kupata mtoto wa kike waliyempa jina Princess Tiffan.
“Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najisikia ndani ya moyo wangu, karibu kwenye ulimwengu Princess Tiffan” aliandika Diamond katika kurasa zake mbalimbali katika mitandao ya kijamii baada ya kumpata mtoto huyo juzi.
Baada ya kuandika hivyo, wadau na wasanii mbalimbali wa sanaa...
10 years ago
CloudsFM06 Feb
Unaijua ‘jinsia’ ya mtoto wa Zari na Diamond?
Shauku ya kumsubiria mtoto atakayezaliwa na mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnuz,Zari imekuwa kubwa sana kwa mastaa hao baada ya kupost picha ya watoto wawili wa kike na wa kiume huku Zari akiandika A or B?
Kupitia account zao za Instagram waliweka picha picha hizo huku mashabiki wengi wakipigia kura picha A ikionyesha kuwa mtoto wao atakuwa wa kike.
Baadhi ya mashabiki waliopigia kura picha A
kombaclara Bbbbbb 1h
happyjanuary91 A mum
pendomagere A 1h
rucrasure A 24min