TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI
![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8ZrDoifoKEcJGGdOZ-179aFmW9KrVfrqQAcjssRx1Is--lNxqUnZtNGNMRimpJq7KfmL0epI5BD94G78azYihxg/FRONTWIKIENDA1.gif?width=650)
Mwandishi Wetu MVUTANO! Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil. 40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto, Ijumaa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4BkvACp04wRNHq1P0nYATIzPco-sG-4vaZveQ1OrSXpk7*Tkz1-Cpznidk6b5wziZCZNfNr1iQ83S811VWTVICvK/ymCTBkp.jpg?width=650)
DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!
9 years ago
Mtanzania21 Sep
Tiffah wa Diamond na Zari awekwa wazi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
SHEREHE za watoto wa mastaa katika fani mbalimbali nchini zinaendelea kushika chati, baada ya mtoto wa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, Lattifah Abdul ‘Tiffah’ kufanyiwa sherehe kubwa jana.
Sherehe hiyo ilifanyika nyumbani kwa msanii huyo Tegeta kama baadhi ya mastaa waliowawahi kuwafanyia sherehe watoto wao walipozaliwa akiwemo, Zamaradi Mketema, Aunt Ezekiel, Mboni Masimba, Hbaba, Flora Mvungi na wengine wengi.
Wazazi wake wameweza kumficha sura...
9 years ago
Bongo505 Oct
Video: Tazama 40 ya mtoto wa Diamond na Zari (Tiffah’s 40) Part 1
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yJSGpCRjq0Ce2Fe*jwfMKp-yM-4P05uKZNYacxr8B6fVLY*rwLCBLkHwUy-GWOGuIKxYxv7TUj6vWHmxLdHNLan/WEMAA.jpg)
WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO
9 years ago
Vijimambo30 Oct
ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH
![](http://api.ning.com/files/ITtoOH4FEliZg1kMGVBqFxobUcCMhsCHe6i138Tav-gRIrkcCmSCTUMCJdIDdv2WCBsgIbCNFJd4hlXWuqXVdQzvHeSnSs3P/FrontIjumaa.jpg?width=650)
Na Hamida Hassan
DIAMOND upoo! Zarinah Hassan a.k.a Mama Tiffah amechukua uamuzi mgumu wa kumvua mwanaye Tiffah ile dawa aliyokuwa amefungwa mkononi ‘hirizi’, hali iliyowafanya watu wengi wabaki na vingi viulizo.
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/12132803_1635458573371970_728412592_n1.jpg?width=650)
Mtoto wa staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platinumz, Tiffah.
Awali, Tiffah alivishwa hirizi hiyo siku chache baada ya kuzaliwa na Diamond akaizungumzia kuwa, ni utamaduni wa kawaida ambao kwa mila za Kibongo siyo tatizo.
Hata hivyo, wakati Diamond akitoa ufafanuzi huo baada ya watu...
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Zari: Tiffah Atakuja Kuwa Raisi Wenu
Kufuatia tabia ya baadhi ya watu kuendelea kumporomoshea maneno machafu mototo wake Tiffah tangu hata hajazaliwa na hadi leo, Zari the boss Lady amewapasha watu hao kuwa Tiffah siku moja atakuaja kuwa rais na watamuheshimu kwani anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia.
“Matusi from day one even before she was born. But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ITtoOH4FEliZg1kMGVBqFxobUcCMhsCHe6i138Tav-gRIrkcCmSCTUMCJdIDdv2WCBsgIbCNFJd4hlXWuqXVdQzvHeSnSs3P/FrontIjumaa.jpg?width=650)
ZARI AMVUA ‘HIRIZI’ TIFFAH
9 years ago
Bongo519 Aug
Zari asema wataionesha sura ya Tiffah baada ya siku…
9 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Tiffah alivyoiongezea furaha familia ya Zari Afrika Kusini